The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,480
- 98,527
Man utd co Arsenal, aliyeuzwa kwa kutaka mwenyewe ni cr7 pekee na hata hivyo aliambiwa asubiri, muulize De gea atakuelewesha hz mambo.Nimetoka insta page yetu duuh diallo sidhani kama atafikisha miaka sita pale....
Dogo kama maradona tutamuuza kama tulivyouza ronaldo
Umemaliza..siyo tu kuassist mpaka kufunga lakini hilo halifichi haya yanayosemwa.
game ya Aseno, Leicester, Everton, Westbrom kama angekuwa makini au kuacha uchoyo hizi game zote tungeondoka na points hata game ya juzi alikuwa anaondoka na mpira kama Mbappe kapata nafasi tatu za WAZI kafunga goli moja, sasa kwa mahitaji ya United kipindi hiki na kijacho hatuhitaji mchezaji wa hivi na sidhani kama kuna mtu anadoubt na uwezo wake.
kukosea ipo ila unakoseaje? mara ngapi per game? je hao wengine wanakosea kama yeye?
Rashidi hajui kufunga magoli ya kideo mara nyingi anategemea mashuti tu, ila co mchezaji mby cz anajua how to dribble but kwenye kufunga hapana, anatumia nguvu hata sehemu ya kuinua kidogo tu.Rashford ni mchezaji mzuri sana msumbufu ana pace, ana kila sababu ya kuwa mchezaji bora shida yake ubinafsi of which sio mbaya sana lakini anakosa sana nafasi yani nafasi 3 anafunga moja hiyo sio poa kabisa ila namkubali sana.
Martial my favorite ooh not anymore ana nikera sana best yangu huyu jana kaingia kapiga vidali nimemwangalia nikawaza shida nini ndugu huyu? Mbona mguu ukiangalia unaona kabisa kuna vitu vingi kaficha hajatupa mashabiki zake,hivi ni nani atakae unleash huo ubeast ndani ya huyu jamaa?
Halafu kamepewa jezi ya Messi no.19★#OnThisDay 111 years ago, Old Trafford hosted its first-ever game.
Amad Diallo completed 3/3 dribbles in just 12 minutes vs. Real Sociedad, no forward completed more on the pitch.
Really lively debut★
#GGMU
manutd | View attachment 1706853View attachment 1706854View attachment 1706856View attachment 1706857View attachment 1706858View attachment 1706859
Kwahiyo mnatzotaka ni zile za ndani ya box ?Nyingi ni za nje ya box,krosi n.k..Rashford akipata mpira ndani ya box pasi hatoi yule dogo,hadi anyanganywe mpira..au afanye maamuzi too late ambapo tunakuwa tumeshapoteza nafasi ya kufunga
Records uchwaraMie binafsi sio muumini wa rekodi za aina ya akina rashford na martial. Mchezaji anakosa magoli game muhimu halafu anafunga na ku assist mechi ambayo tunashinda goli 3+. Haina maana kabisa.
Nili comment hv hv records uchwara, kumbe na wewe ulikuwa ushaandikaHii ndo point..Rekodi uchwara haziwezi kutupa makombe.
kwa msimu huu tu nakumbuka amekosa magoli 3 ya 1 v 1Rashidi hajui kufunga magoli ya kideo mara nyingi anategemea mashuti tu, ila co mchezaji mby cz anajua how to dribble but kwenye kufunga hapana, anatumia nguvu hata sehemu ya kuinua kidogo tu.
Na hyo one on one ndiyo inayomtofautisha real striker na mbahatishaji.kwa msimu huu tu nakumbuka amekosa magoli 3 ya 1 v 1
Yes,ambazo nyingi ni clear goal chances..Kwahiyo mnatzotaka ni zile za ndani ya box ?
Siyo natural striker ndiyo maana hana hizo killer instincts golini.Yes,ambazo nyingi ni clear goal chances..
Na hyo one on one ndiyo inayomtofautisha real striker na mbahatishaji.
Mpige misumari ya kutoshakilio chenu juu ya rashfod nimekisikia nawahaidi asipo jirekebisha atasugua benchi kwa muda uliobaki
ngoja nifanye mambo hapa kwa babu sumbawanga
Sasa basi awe anatoa pasi ili aepuke lawama anazozipata dunia nzima.Siyo natural striker ndiyo maana hana hizo killer instincts golini.
Shida ni kwamba Greenwood hapati clear chances mara nyingi km hawa wajinga wawili.Hakuna mech iliniuma kama ya sevilla mwaka jana yy na martial walikosa goli nyingi sana za wazi kisha tukatolewa mech ilikuwa na goli 5 za wazi tokea hapo nikatambua striker muhimu anahitajika magoli wanafunga goli moja ktk mech 6 au 7 hizo zingine anafunga nani?
Greenwood mech ya mwisho kufunga ni FA na liverpool had leo kimya martial leeds kama sijakosea rashford ndio hiyo europa tutakaa mech 5 atafunga tena unaweza kuwa na striker wa aina hiyo?
Assist hata erick bailly anatoa na lindelof
kilio chenu juu ya rashfod nimekisikia nawahaidi asipo jirekebisha atasugua benchi kwa muda uliobaki
ngoja nifanye mambo hapa kwa babu sumbawanga
Ndiyo maana ana assist nyingi pia.Sasa basi awe anatoa pasi ili aepuke lawama anazozipata dunia nzima.
Alipaswa kuwa far way kwa assist na sio kuwa nyuma ya bruno kwa zile nafasi anazopataMbona Rashford ndiyo anayemfuatia Bruno kwa assists kwenye kikosi chetu sasa uchoyo unakuwaje ?