Wild sniper
JF-Expert Member
- Apr 3, 2015
- 4,426
- 8,726
Dogo mguu kama una sumaku ya mpira..anahitaji proper coaching kuwa star mkubwa ajaye..Hilo ndo ninaloliamini.Nimetoka insta page yetu duuh diallo sidhani kama atafikisha miaka sita pale....
Dogo kama maradona tutamuuza kama tulivyouza ronaldo
Ndo umri wa kuchukua uzoefu, Mfano mzur ni Kylian Mbappe Lottin akiwa Monaco na kina Falcao alipiga dakka 90 mechi ya BVB na akatupia alaf akaja kuitoa Man City UEFA huku akicheza dakka 90Dogo si unaturn 19..huu sio umri mdogo sana kama mchezaji ana kipaji na akili ya mpira.
Takwimu za Rashford zinaonyesha kuwa dogo ni lethal zaidi against big teams ambazo mara nyingi ni game muhimu kushinda.
Sikatai kwamba kuna wakati anapoteza chances muhimu lakini ni mchezaji gani ambaye hakosi nafasi za wazi duniani ?
Kwanza tunapaswa kuappreciate dogo uwezo wake wa kupata hizo chances nyingi uwanjani maana yake positioning yake na runs zake uwanjani ni dangerous kwa timu pinzani.
Porojo kibao..★Basi RASHFORD kama ni hatari sana kwnye Mechi kubwa zenye uhitaji wa Kufunga unaonaje hizi ambazo si kubwa kama unazoziongelea wewe tufanye awe anakaa Benchi
Ili basi ambao wapo na wenye uwezo wa kufunga mechi ndogo zisizo stahiki ushindi wacheze,mbona Rahisi sana Mkuu
Pia sioni umaana wakumtetea mtu kisa rekodi zake hapana tunahitaji ushindi hatutaki u LETHAL wake Broh★
Nimekuelewa vizuri sana.★Basi RASHFORD kama ni hatari sana kwnye Mechi kubwa zenye uhitaji wa Kufunga unaonaje hizi ambazo si kubwa kama unazoziongelea wewe tufanye awe anakaa Benchi
Ili basi ambao wapo na wenye uwezo wa kufunga mechi ndogo zisizo stahiki ushindi wacheze,mbona Rahisi sana Mkuu
Pia sioni umaana wakumtetea mtu kisa rekodi zake hapana tunahitaji ushindi hatutaki u LETHAL wake Broh★
Hii ndo point..Rekodi uchwara haziwezi kutupa makombe.Mie binafsi sio muumini wa rekodi za aina ya akina rashford na martial. Mchezaji anakosa magoli game muhimu halafu anafunga na ku assist mechi ambayo tunashinda goli 3+. Haina maana kabisa.
Wakati mwingine unawezakuta mipango ya ulinzi ya timu pinzani hawashughuliki na Rashford kisa tu hana madhara sana ndio maana anakuwa na hizo chances kibao anazokosa.Takwimu za Rashford zinaonyesha kuwa dogo ni lethal zaidi against big teams ambazo mara nyingi ni game muhimu kushinda.
Sikatai kwamba kuna wakati anapoteza chances muhimu lakini ni mchezaji gani ambaye hakosi nafasi za wazi duniani ?
Kwanza tunapaswa kuappreciate dogo uwezo wake wa kupata hizo chances nyingi uwanjani maana yake positioning yake na runs zake uwanjani ni dangerous kwa timu pinzani.
Mbona Rashford ndiyo anayemfuatia Bruno kwa assists kwenye kikosi chetu sasa uchoyo unakuwaje ?Wakati mwingine unawezakuta mipango ya ulinzi ya timu pinzani hawashughuliki na Rashford kisa tu hana madhara sana ndio maana anakuwa na hizo chances kibao anazokosa.
Ukweli usemwe jamani,yule dogo ni mchoyo wa pasi halafu anataka kuonekana yuko level za akina cr9.
Lakini pia ndiyo anaongoza kwa uchoyo wa pasi usio na tija kwenye team.Mbona Rashford ndiyo anayemfuatia Bruno kwa assists kwenye kikosi chetu sasa uchoyo unakuwaje ?
Huyu dogo chizi tu km machizi wengine.Hapa dogo alikosaView attachment 1706571
siyo tu kuassist mpaka kufunga lakini hilo halifichi haya yanayosemwa.Mbona Rashford ndiyo anayemfuatia Bruno kwa assists kwenye kikosi chetu sasa uchoyo unakuwaje ?
Hapo makombe ma4 Liverfool ilibeba kibahati wala haikustahili.
Nyingi ni za nje ya box,krosi n.k..Rashford akipata mpira ndani ya box pasi hatoi yule dogo,hadi anyanganywe mpira..au afanye maamuzi too late ambapo tunakuwa tumeshapoteza nafasi ya kufungaMbona Rashford ndiyo anayemfuatia Bruno kwa assists kwenye kikosi chetu sasa uchoyo unakuwaje ?