Mbeya City Spurs I
JF-Expert Member
- Jan 6, 2021
- 482
- 1,026
Ha haa haaa, we jamaa wewe. Timu yangu ilianza vizuri kweli. Tatizo usipokuwa na kikosi kipana majeruhi kidogo tu tatizo. Hapo bado hicho kikosi cha kwanza tu hakina balance. Zetu sisi Europa na Karaghabaho. Kwenye fainali tutawapiga kama tulivyowapiga kwenye fixture mbili zilizoitangulia ile ya juzi.Mim binafs nilijua title contenders ni
Liverpool na man city
Kitendo cha liverpool kupoteana sioni kabisa mwingine wa kutusogelea city...
Mpaka sasa timu inayonipa hofu ni liverpool tu ,man utd haina madhara kabisa kwenye mbio zetu ...
Man utd huwa sina hofi nayo kabisa
Hata tukiwapa game 4 mshinde mchukue epl bado hamna uwezo sasa hiyo ni timu ...
Epl hiyoo inatua etihad kiulain kabisa
Nawakumbusha tu tulipokuwa ,wakat huu spurs alikuwa anashona suti za kusherekea ubingwa hhaaaaaa...
View attachment 1703088
Huo wa Foden na Gundogan ni mfano mzuri sana. Kwa sasa Gundogan ndiye Messi wa City ila ajabu siku dogo akicheza tu vizuri anakuwa man of the match kwenye vyombo vyao vya habari. Ila siyo ishu maana ndiyo wako hivyo hawawezi kuchange.Mkuu umeongea vema sana. Na mfano mwingine ni Foden pale Man city,wakiwa wameshinda hata goli 3-4 na dogo akatoa assist au naye akatupia kambani maongezi yote kwa foden wakati Gundogan ndio anawaweka mjini kwa sasa.
Inakera sana yani.
Mkuu siyo rahisi kwa kocha wa RB Leipzig kuipa mafaniko United. Siyo rahisi kwa kocha yeyote yule mwingine na ndiyo maana Pep hakutaka hata kuifikiria hiyo kazi. Pale Leipzig maintenance ya kikosi ni suala endelevu. Wanapouza mchezaji mara moja wananunua mwingine wa kuziba nafasi.Jombaa, Julian Nagelsmann yule ni mtu mwenye akili nyingi sana za kiufundi. Ana silaha kubwa sana tunayoikosa kitu ambacho makocha kama Pep Guardiola na Jurgen Klopp wanacho, GAME MANAGEMENT SKILLS.
Umuhimu wa game management skills Everton wasingeweza kupata sare wakati tunaongoza goli mbili bila siku ile. Tusingefungwa na PSG kabla ya Fred kupewa kadi. Ukiangalia vizuri safu yetu ya ufundi ni kama wanabahatisha bahatisha hawajui nini cha kufanya muda mchezo unapoendelea.
Kusema ukweli kama tutaendelea kuamini Ole atakuja kuwa kocha mzuri tunapoteza muda. Kwa sasa ni heri amalize msimu tupate nafasi ya top 4 msimu mpya aje mwalimu mpya pamoja na mkurugenzi wa ufundi.
[emoji23][emoji23][emoji23]
Kishada mamaeee [emoji23][emoji23][emoji23]
Mtoto mdogo hv kupewa mzigo wote huo unategemea nini hapo.
Greenwood bado yupoyupo sana.
Mkataba mpya utambakisha Old Trafford mpaka 2025 na kipengele cha kuongeza mwaka mmoja.
Ninachoamini katika hii miaka aliyoamua kubaki, atabeba Premier League siyo chini ya 2 na UCL angalau moja.
Youth. Courage. Success.View attachment 1703715
Acheni tu niendelee kumuabudu babu fergieMtoto mdogo hv kupewa mzigo wote huo unategemea nini hapo.
Van Gaal also has his own complaints about the board, management etc for not signing his targets, not giving him time to deliver and that his squad was playing a much better football than OGS's la bla bla.
Failures for Buying teams are rampant in England, that is what Man U are trying to avoid under OGS especially because he, himself is not a fan of big buys, that is why he has that Job to date.Mkuu siyo rahisi kwa kocha wa RB Leipzig kuipa mafaniko United. Siyo rahisi kwa kocha yeyote yule mwingine na ndiyo maana Pep hakutaka hata kuifikiria hiyo kazi. Pale Leipzig maintenance ya kikosi ni suala endelevu. Wanapouza mchezaji mara moja wananunua mwingine wa kuziba nafasi.
Tatizo jingine la timu yenu ni kuwa inachukua muda mrefu sana kununua mchezaji. Angalia situation za ununuzi wa Maguire na Bruno kwa mfano. CB alitakiwa tangu 2018 akanunuliwa 2019 wakati tayari kiwango chake kishaathiriwa na sakata la ununuzi wake na kwenye timu pia tatizo lishakuwa kubwa zaidi.
Fernandes (au mchezaji yeyote wa kuziba "pengo" la Pogba) angenunuliwa mapema timu isingepoteza stability.
Sasa makocha wanaocheza mpira wa kasi dk zote 90 kama vile Julian au Klopp wanahitaji kikosi kamili muda wote ili wapate matokeo. Kikosi kikiwa na pengo moja tu timu haipati matokeo. Angalia hata Klopp anavyopata shida akipoteza mchezaji mmoja tu starting XI.
Kocha kama yule akiwa chini ya mmiliki kama Woodwork au Levy ataishusha timu daraja. Bora huyo huyo Ole anayezifahamu fika siasa za Old Traford.
😀😀Kumbe haya majinga yalikuwa shule mojaView attachment 1704196
Sent from my Nokia C2 using JamiiForums mobile app
I think the point is not "big buys". Rather, it's about "getting" a player when required. If you think it's easy to build a team by using academy kids like Greenwood to solve the right winger problem at United, then there is a big problem.Failures for Buying teams are rampant in England, that is what Man U are trying to avoid under OGS especially because he, himself is not a fan of big buys, that is why he has that Job to date.
Team are built.