Sizinga
Platinum Member
- Oct 30, 2007
- 9,519
- 7,287
Like this??? U mean??
![]()
Chifu, viwango vya wachezaji vina poromoka viwango wachezaji vinakuwa.
Kama wewe unaona hakuna tatizo sawa.
Mimi ni ManU kama wewe, kila mtu na mtazamo wake, mie binafsi huo ndiyo mtazamo wangu.
Chifu, viwango vya wachezaji vina poromoka viwango wachezaji vinakuwa.
Kama wewe unaona hakuna tatizo sawa.
Mimi ni ManU kama wewe, kila mtu na mtazamo wake, mie binafsi huo ndiyo mtazamo wangu.
Swadakta
Upo sahihi kabisa mwache huyo Nzi keshapigwa na dawa ya Rungu anaweweseka tu!! Karibu timu nzima ilikuwepo mwaka jana lakini mbona bado mwaka huu haifanyi vizuri? Kuna shida with players!! No spirit,no team work wanajichezzea tu sasa hembu angalia lile goli...very POOR DIFENDING,sijawahi ona from MAnUre
Chifu, labda kwa upande wako tatizo ni nini ManU?Kweli...tatizo lipo..naona lipo kwa wachezaji...hapo mtamlaumu kocha vipi?
Kama viwango vimeshuka, wakalaumiwa na nani?
Anyway...mambo yataenda poa tu...
Good&keep it up!Januzaj....1-1
Chifu, labda kwa upande wako tatizo ni nini ManU?