Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

dakika ya 41 kadi ya njano kwa Rooney
 
Sidhani kama sunderland wataweza kuvumilia.
Japo wanaonyesha uhai kidogo.
 
Mechi imeshakuwa ngumu,Utafikiri Moyes kapewa timu juzi
 
Sometimes it is hard to tell if I am real watching Manchester United

Timu haina malengo kabisa na wala huoni kama chochote kinaweza kutokea wakati wowote

Hii siyo Manchester United bana......Liverpool fate on the cards
 
Chifu...they were there too last season...

Usiwe kama hujui mpira ...hembu jaribu kumuelewa anachokuambia Ritz, Beki mbovu hao watu hawawezi kuiunganisha timu...kwani ye kasema mwaka jana hawakuwepo? TEam imekosa communication sio mbele kati wala nyuma, na msipoangalia mechi hii nayo mnainamishwa kibra!!
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK
Hahahahhaha Manu mwaka huu naona watapigania wasishuke daraja...hali ni mbaya sana
 
Usiwe kama hujui mpira ...hembu jaribu kumuelewa anachokuambia Ritz, Beki mbovu hao watu hawawezi kuiunganisha timu...kwani ye kasema mwaka jana hawakuwepo? TEam imekosa communication sio mbele kati wala nyuma, na msipoangalia mechi hii nayo mnainamishwa kibra!!

Yeye alisema Tom na Carrick hawana uwezo wa kuinganisha timu...mimi nimemwambia mwaka jana waliweza kuinganisha timu.

Sasa wewe unayejua mpira, mbona unashindwa kuelewa nimemaanisha nini?!?

Beki za kati ndizo zilezile; hakuna jipya...sasa wewe unayejua mpira hata huwezi kusoma katika ya mistari hiyo?!?

Pheewww...
 
Last edited by a moderator:
Chifu...they were there too last season...
Chifu, viwango vya wachezaji vina poromoka viwango wachezaji vinakuwa.

Kama wewe unaona hakuna tatizo sawa.

Mimi ni ManU kama wewe, kila mtu na mtazamo wake, mie binafsi huo ndiyo mtazamo wangu.
 
Back
Top Bottom