The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,616
- 98,847
Yani pumbavu km martial ambaye pale Bayern angepewa 80 kwa wiki huku anakula 200 daahhh aloo, na ukitaka kujua nguvu ya tm ktk kuvutia wachezaji angalia salary ya wachezaji wanaolipwa pesa ndefu alafu angalia viwango vyao lazima ukute ni world class players, ila ukikuta tm inalipa average player pesa ndefu ujue ushawishi sokoni mdogo, huyu Martial na Rashford pale madrid, barca, au Bayern hata 120 hawalipwi.Tunahitaji sana mkurugenzi wa ufundi. Huyu fala hana mipango kabisa ya kiufundi anajua ku-sign cheque tu.
Huwa najiulizaga sana kama Marcus na Anthony waliweza ku-negotiate nae mezani mpaka kuwalipa $200k kwa wiki, je vipi kwa Bruno ukifika wakati wake wa kuongeza mkataba? Si tutamlipa $500k/weekly.
Madhara ya kulipa mishahara mikubwa ina-limit timu ku-accommodate talents nyingi kwa wakati mmoja kila mchezaji akitaka kuja anaona hapa ndio mahala pa kulipwa pesa ndefu.
Kwa akili za Ed sina imani kama angeweza kui-manage ile Manchester United ya mwaka 2006 - 2009. Ange-inflate salary budget beyond manageable capacity. Ingetulazimu tuuze baadhi ya wachezaji.
I think ni vizuri kumpiga bei De gea.★PSG are interested in signing De Gea from Man United.★
#GGMU[emoji123][emoji41]
#todofichajes[emoji633]
manutd | View attachment 1698268
acha tu alafu nusu tunatolewaHivi tukishinda mechi hii tunaingia tena semi final ?
I think ni vizuri kumpiga bei De gea.
degea OUT THEN WOT MAKIPA WAMEKUWA ADIMU SANA★Hizi habari zikenifurahisha sana mpka nimekunywa SODA [emoji23]★
amuweke leo aanze kama atujapiga mtuu 9★Amad Diallo is expected to make his first-team debut this month.★
#GGMU[emoji123][emoji41]
#ManchesterEveningNews
manutd | View attachment 1698294