Badala ya kumuombea njaa city unamuombea njaa livapoolNimekuelewa mkuu,ngoja tuendelee kumuombea njaa Liverpool kwa sasa wakati tunafanya rebuild kwanza
Naona medaliHii ni dream league?, mm nipo na pess najifariji na eplView attachment 1697168View attachment 1697169
Tumeambiwa huu sio msimu wetu,ya nini kujihangaisha na city ambaye anacheza kwa mamlaka na njaa ya kupata goalsBadala ya kumuombea njaa city unamuombea njaa livapool
Bro.. tuongee soka tuache masihara kwa kikosi kile cha pep msimu ujao anabeba tena ndoo na ukizingatia chemistry yao ipo kileleni vibaya mno....na kumbuka huyu kipara kila msimu anasajili ukizingua anakuuzilia mbali...Tumeambiwa huu sio msimu wetu,ya nini kujihangaisha na city ambaye anacheza kwa mamlaka na njaa ya kupata goals
Mbona mimi nimeweza kulinda ushindi,
Hatuna kocha kabisa wakuuView attachment 1697153
Mafanikio ya utd sio kuwa #2★Former Anderlecht director Michael Verschueren :
“Two years ago, I was accompanied by Ed Woodward. He showed me tweets from supporters: ‘Look Michael, how cruel the fans can be’ — the tears were in his eyes. Today #mufc are second in the league.”★
#GGMU
manutd | View attachment 1697521
Mafanikio ya utd sio kuwa #2
No one cares about the second position
Beki kisiki DUNIA NZIMA, Captain la DUNIA NZIMA, Beki ghali DUNIANI NZIMA.
Paundi Million 80View attachment 1697481
Ed woodward ni kichwa maji hilo halina shaka when it comes to football★Mi nimeshangaa sana afu nikaona kama wote wawili mwonyeshaji na mwonyeshwaji hawana akili timamu maana swala wanojisifia nila kitoto kabisa na nila kawaida kabisa yani timu Form kidogo tu mnaanza kumbwela tuko vizuri wakati timu ndogo zinatusumbua wtf???★
Ukimuona boss1 basi ujue papaa gx yupo likizo vivyo hivyo ukimuona papaa gx ujue the boss1 yupo likizoBeki kisiki DUNIA NZIMA, Captain la DUNIA NZIMA, Beki ghali DUNIANI NZIMA.
Paundi Million 80View attachment 1697481
Messi cr7 na nani?OGS ntamuhukumu next season, hiki kikosi chake kinaitaji wachezaji kama watatu au wanne tu ili tuwe title contender mkuu
Unajua usajiri wa mchezaji sahihi mmoja tu unaweza badilisha timu nzima like Bruno
Bruno ni shogaFrom Uncle Bruno
View attachment 1697170View attachment 1697171Fernandes names two changes Man United have to make after Everton draw
Man Utd suffered a huge blow as they conceded late on to draw with Everton in the Premier League fixture on Saturday night.www.manchestereveningnews.co.uk
Everton tu kakuinamishskwa mechi tulizo nazo man u mpaka tuje kutana na big match ambayo ni chelsea
sioni wakutusimamisha labda tuamue wenyewe kujisimamishaaa
Tunahitaji sana mkurugenzi wa ufundi. Huyu fala hana mipango kabisa ya kiufundi anajua ku-sign cheque tu.Ed woodward ni kichwa maji hilo halina shaka when it comes to football
Hii timu inahitaji sajili tatu/nne za nguvu lakini utaona siasa za Ed kwenye dirisha la usajili lijalo..tutafanya ushubwada