Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hii Sub ya Tuanzebe na matokeo haya .

Ni vitu ambavyo vimejirudia kwa Mara ya pili.
 
Bailly tatizo spana mkononi, zinatakiwa beki mbili vitasa watu wagombanie namba, soon tutamuona magwaya kama latest version ya jones
 
Cavani huwa analalamika sana, haka katoto kachoyo kana mpira wa kitoto sn, hakajui kutumia akili kufunga, kenyewe kanawaza mashuti tu, alafu kwa bahati mby clear chances huwa zinamfata yeye tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chief-Mkwawa
Hayo magoli unayosema against Leicester na Sheffield ni huyo huyo TUANZEBE ndio aliwacost the same kwa Everton pia Goli la 3 ni yeye pia.
Huyu Chief-Mkwawa kuna wakati huwa simwelewi kabisa, huyu wkt mwingine km mko vitani inapaswa atangulizwe mbele Mana ukimwambia adui wapo karibu yeye anakuambia hapana co maadui hao ni wenzetu.

Huwa wakati mwingine ananiudhi sn mm sema huwa namvumilia tu.

Mpira uko wazi na makosa yameonekana kabisa yeye anakazana na miono yake ya ajabu vipi huyu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Olee tumepigwaaa aseeeh
sasa kulikuwaa na ulazimaa upii wa kumtoaa greenwood na kumuingizaa Tuanzebe kmk
,,,,,
 
huyo kocha mjinga ndio amekusababishia hii meltdown kwa kukuweka roho juu na ukapata hopes za ubingwa, mpeni respect yake.

Kwamba hawa hawajui kwamba kuna upuuzi?

Kwanza sijawahi kuzungumzia ubingwa kamba ole atabeba hakuna hiyo post humu huwa napenda timu ishinde tu hamna kocha wa ubingwa pale
 
Chief-Mkwawa
Hayo magoli unayosema against Leicester na Sheffield ni huyo huyo TUANZEBE ndio aliwacost the same kwa Everton pia Goli la 3 ni yeye pia.
goli la leicester alikuwa mc tominay, shefield ni tuanzebe deflection na leo tunafungwa goli la pili Tuanzebe hayupo uwanjani.

si kila error ya goli ni tatizo la beki, kuitafsiri kauli ya fergie defense si mabeki tu, ina involve ukabaji kwa ujumla, angalia hii clip ya goli la pili

inawaonesha vizuri fred na Mc tominay, angalia fred mpaka anamwambia rashford aka mark wing ya everton ila anashindwa ku spot threat ya james, angalia mc tominay alivyotoka nyuma na kwenda kubanana na lindelof sehemu moja na ameshindwa ku spot hio threat.

kwa macho ya kawaida hapo unalaumu beki, lindelof alikuwa na richalson na maguire alikuwa na lewin, ila ikabidi waondoke fasta kujaribu kublock, matic na uzee wake ni nadra kukuta chance kama hizo zinatokea, fred na mc tominay wote wanajua tu kukaba ila kujiposition na kukaba nafasi badala ya watu wanatakiwa ku improve zaidi.
 

Huyu huyu anakujaga na starts za martial na rashford ambao kila mech 7 au hadi 10 wanafunga goli moja anawasifia balaa
 
David Degea niliwahi kuandika hapa mwaka jana Nov, 29 tukiwa tunaanza msimu mpya. Huyu watu wachache sana wanaona ila kwa sasa hatufai uwezo wake umeshuka sana. Ni muda sahihi sasa Dean Henderson kuwa namba moja.


Pia, Eric Bailly timu kwa sasa inamuhitaji sana lile eneo la ulinzi bora hata awe anapigwa sindano ili tumalize hizi mechi 15 zilizosalia. Maguire-Linderlof chenga sana hamna kitu pale. Hawa wapumbavu wapo slow sana na wana makosa kibao.
 
Ila OGS anatuangusha sana kwenye sub aiseee... yani kuna makosa uwanjani unayaona kabisa kwa macho ya kawaida lakini yeye anafanya tofauti. Mimi nilishout sana bandani nilipokuwa naangalia kwamba amtoe Rashford aingie Matic au VDK ili kuongeza nguvu katikati kuwazuia Everton wasishambulie. Alichokifanya Ole yani nimetokana banda zima kmmk.
I am very disappointed indeed
 
HARRY MAGUIRE

Huyu jamaa Anaweza kuwa very foolish Captain in Manchester United History.
Kocha angelikuwa anaona mbali angelimvua tambala ampe Bruno ili kumfanya asiwaze kuondoka mana mchezaji km Bruno itafika kipindi ataanza kuwaza ballon dor, ss akiona hawezi kuipata akiwa man u anatafuta kwengine.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
HARRY MAGUIRE

Huyu jamaa Anaweza kuwa very foolish Captain in Manchester United History.

Aisee hilo nilisema wakat naangalia mpira goli la kwanza tu nikasema hapa hamna captain akajiangusha tukakosawa na richalison nikawaza hapa madogo wanajifunza nn toka kwa huyu jamaa maana alikuwa anachoma ina maana ni kawaida kufanya makosa

Ole anapenda uingereza unamuangamiza kama lampard

Marcos rojo kaondolewa kuwapisha wakina tuanzebe na williams pengine ile sub angemuingiza telles
 
Axel Tuanzebe kila mtu anajua ni mpuuzi ila hatuwezi ku-challenge chochote kama Degea-Maguire-Linderlof hii combination ikiendelea kufanya ujinga. Huyu Axel ni ujinga wa mwalimu mwenyewe kuendelea kumtumia.

Ila watu wanaotugharimu sana kwa sasa ni hawa watatu Degea-Maguire-Linderlof. Wana makosa mengi sana ya kiufundi. Suluhu ya haraka haraka kwa sasa Dean anapaswa aingie kikosi kama golikipa namba moja yule Maguire-Linderlof mmoja aanze kukaa pembeni ni kheri hata apandishwe mtoto chini huko ila sio hawa wajinga waendelee kucheza pamoja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…