Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Italy U21 walimuita dogo kawachomolea: ndoto yake ni kuiwakilisha timu ya taifa ya Ivoty Coast.
Hapo ndipo atafeli ss, aachane na mambo ya huku kusikokuwa na shukurani, Messi mpk leo angekuwa the greatest km angekubali kuiwakilisha Spain japo kwa Messi haikuwa mby cz Argentina ni nchi kubwa kimpira but kwa Africa simshauri kabisa, huku kuna upuuzi mwingi mno, chuki, kijicho plus misumari.
 
So,Pogba on the left?..Tunapunguza nguvu kwenye attack..Tukiwa na Greenwood na Rashford kwenye flanks tunakuwa lethal zaidi IMO..Pogba na Fred naamini wanaweza kuwa discplined enough katikati pale na mambo yakaenda
Pogba wacha akae juu mkuu.
 
✓Hannibal Mejbri

✓Amad Diallo

✓Teden Mengi

✓Facundo Pellistri

Academy yetu sio mbaya na graduates watu wengi wanafika level flani nzuri..I'm looking foward kuona mchango wa hao madogo niliowataja pindi watakapokomaa
 
★ • #PL - Round 23
• Man Utd - Everton
• Sat, Feb 6, 20:00 BST
• Oldtrafford★

#GGMU


manutd |
 
★On the 63rd anniversary of the tragic Munich Air Disaster, we take a moment to think and pay respects to those who lost their lives. A broken plane A broken dream A broken heart A broken team No words said A silent vow We loved you then, we love you now.★

#FlowersOfManchester

#GGMU


manutd |
 
Bailey, beki langu bora kwa sasa pale Man united, tatizo majeruhi tu.

 
Kisingepata ajali hiki kikosi tusingekuwa na CL 3 mpk leo, zingefika hata 6.
 
✓Hannibal Mejbri

✓Amad Diallo

✓Teden Mengi

✓Facundo Pellistri

Academy yetu sio mbaya na graduates watu wengi wanafika level flani nzuri..I'm looking foward kuona mchango wa hao madogo niliowataja pindi watakapokomaa
Yaani daaahh....!!

Kuna-combo moja ya hatari sana kati ya Amad na huyu dogo namba Saba. Dogo namba Saba anachojua ni kufunga tu mwanzo mwisho, Na huyu Amad ni goal producing Machine. Dogo ananyumbulika bazoka isubiri..!! Anagawa mipasi yachumban kabisa...anaunganisha timu mbele na nyuma..!! Aisee.. huyu dogo asiendelee kusubiri sana kule.. kwa mipasi yake Cavan mbona anaondoka na mpira kila mechi..!!

BACK TANGANYIKA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…