Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Grealish sawa ila lingard usidanganyike mkuu, hata kocha awe nani hawezi kutufaa chochote, ni average player huyo hawezi pressure ya tm kubwa, ABAKI UKO UKO.
 
Liverpool atagonwa sanaa mana hadi now Clopp hajajua tatizo lake ni nini mana anadhani issue ni back lakini ukweli ni kwamba tatizo la liverpool ni Thiago
Kuwajadili Liverpool kwenye jukwaa la Machester ni matusi makubwa sana.

Hebu achaneni nao mnachafua sired kuwajadili Liverpool nendeni mkawazodoe kwenye jukwaa lao huko.

Mnaupaka mavi uzi wetu
 
Rashford ni FL na Martial ni FLC, Dan James ni FL, Grealish hawezi kuja kuwa chaguo la 3.
 
Kuwajadili Liverpool kwenye jukwaa la Machester ni matusi makubwa sana.

Hebu achaneni nao mnachafua sired kuwajadili Liverpool nendeni mkawazodoe kwenye jukwaa lao huko.

Mnaupaka mavi uzi wetu
Ushindi kidogo tu matusi kibao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…