Mkuu jana lingard kacheza vizur sana pengine timu inahitaj ma center foward wenye nguv kama antonio ili hawa watu kama wakina lingard waweze kung'ara.
Pia tunahitaji sana mtu Jack Grealish yaani tusipomsajili mtu kama huyo ntashangaa sana jana nilikuwa naangalia mech yao marudio aisee yupo vizur sana huyo ndio sababu Ollie Watkins anafanya vizur sana