Honestly kwa mchezo wa leo hasa kuanzia dakika ya 60s tulistahili kufungwa timu ilipoteana kabsa.
Hapo tu pananifanya nikuone wa
wasiwasi...mshabiki wa Manchester United hawezi taja jina la timu yake
kama Man U!! Hilo jina ni kejeli kwa historia ya klabu!
Timu yenu ya kubebwa ni MBOVU...............
moyes sucks..
Kwani man u sio timu aloiacha babu na kombe epl,? Au imebadilika man4 u
Kuachwa na kombe sio kigezo cha kushinda makombe msimu unaofuata
Kumbe babu alijua team ishakuwa kimeo akaona aishie zake kimya kimya.. moyes atajibeba
aisee..! ebu niambie kvp ili niache kuitaja hivyo, maana mm na utd ni mwili mmoja!
Hayo ni mawazo yako kuona Timu ni kimeo. Ila ukweli Timu ipo sawa inahitaji kuongezewa nguvu kidogo baadhi ya maeneo kama Kiungo mkabaji sehemu ambayo ilianza kupigiwa kelele Tangu babu yupo hadi sasa (Toka aondoke Roy keane hajapatikana mtu wa kuziba pengo lake, Kuna kipindi alikuja Owen Hagreaves lakini kutokana na majeruhi akashindwa kuonesha uwezo wake)
Option ya kumsajili Semi Khadira ilikuwa ni sahihi kabisa kwani jamaa ni mzuri sana ila tatizo wamepeleka bid dkk za mwisho kabisa dili ikashindikana
Hawa watu wasiojua hata namna substitutions zinavyofanywa kwenye soka, wanapataje guts za kutoa shombo humu?!?
Wanajifahamu..siwataji...watajisoma..
Mimi simkilizi Moyes...napata habari moja kwa moja toka Aon training complex...
Kumbe babu alijua team ishakuwa kimeo akaona aishie zake kimya kimya.. moyes atajibeba
Kwa kuweweseka hujambo hizi habari zilitolewa saa moja kabla mtanange wa Minor Doneski haujaanza chacha wewe na upimbi wako unafikiri hizo habari zilitoka kutoka old trashford khe khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee imekula kwako.