★Solskjaer: "Phil Jones has been recovering from a knee injury, an operation he had. He has been working hard. He will be included on the list once he is back ready able to play." .★
Unateseka ukiwa wapi?
Mwambie Arteta, Sorskjaer si saizi yake.
Mwache aendelee kuomba omba wachezaji wa mia mbili na hamsini akitegemea watampa kombe.
Labda kombe la uji.
Dah... ajabu nini hapo. Huoni mangine lingine wamejifunga. Kawaida mpikaji huwa anaonja tu akiwa jikoni finally wanaoukula ni wale waliopikiwa. Nadhani umenielewa