Utakimbia mwenyewe humu.
Yani we unamuekea zamana mwendawazimu?
Hujui kua siku ya hukumu wewe utakua kizimbani kipindi yeye (mwendawazimu) akiwa jalalani anaokota makopo.
Soton wanakikosi Chenye muunganiko mzuri sana kutokuwepo kwa hao viumbe hakutabadilisha chochote hasa ukizingatia timu yetu imekuwa ikicheza vile vile bila kubadilisha mfumo wala intensity hivyo nategemea same Ole's predictable lunacy.