Chimbo hili mkuu ni JITEGEMEE sio MAKONGO no cha Mwajiri no cha tajili.
Ukiyapa yako na ulio fanya nao kazi, ukiyakosa unaendelea kutubu, no kula mpaka suruali inapasuka.
Mbaya zaidi ukikamatwa polini ni jela miezi 6 bila msamaha.
Kiufupi mkuu huku ni kama jela ya kujitakia tu.
Utamlaumu nani na shule tuliona uzushi?
Ngoja tuondelee kukaza.