Chimbo hili mkuu ni JITEGEMEE sio MAKONGO no cha Mwajiri no cha tajili.Zama chimbo wewe ..achana manyumbu haya yatakunyima ela ya kula ..mwajiri atakutaka mshahara oho!!
Kwani nyie manyumbu mutaweza kuwafunga Arse8 ??
Juzi ni kama mlipakwa mate tu... Leo inateleza kama nyoka pangoni[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
#COYG
#COYG
Kwel mpira unadunda, Labda kuanzia dakika ya 150 huko. Mkibak peke yenu uwanjanArsenal..london babies watakufa goli 3 leo hii, Martial ,Rashford na Cavani watatupia hizo kamba..Bruno Magnifico atatoa assist 2..na Arsenal watarudi rasmi kwenye mbio zao za championship
Mpira utadunda kwa Arsenal, sio kwa mafundi wa united..leo tutachukua point zetu hapo kwenye huo uwanja wetu wa emirates.Kwel mpira unadunda, Labda kuanzia dakika ya 150 huko. Mkibak peke yenu uwanjan
Mkuu nitaungana na wewe..lakini mimi nitacomment baada ligi kuisha kama leo tutapoteza game ya arsenal kwa namna yoyote ile.Man akifungwa na Arsenal mechi ya Leo sitakomenti humu hadi June.
Naona umetafuta sababu za kuwakimbia wenzako[emoji3][emoji3][emoji3]Man akifungwa na Arsenal mechi ya Leo sitakomenti humu hadi June.
Kama mlifungwa na Sheffield sembuse ArsenalMan akifungwa na Arsenal mechi ya Leo sitakomenti humu hadi June.
Man akifungwa na Arsenal mechi ya Leo sitakomenti humu hadi June.
Ni aibu sana kufungwa na arsenal hii iliyosheheni wachezaji wa mkopo karibia kila idara.Man akifungwa na Arsenal mechi ya Leo sitakomenti humu hadi June.
Arsenal ni midtable wakati sheffield wanapambana kujinasua mkiani.Kama mlifungwa na Sheffield sembuse Arsenal
lolote linaweza tokea
KabisaMartial anatupia kamba leo.