Wild sniper
JF-Expert Member
- Apr 3, 2015
- 4,426
- 8,731
Bado nipo jamaniMimi kama mpinzani kutoka kanda ya Pwani nasema kwamba napiga maombi mfungwe najua ni ngumu ukilinganisha na mlichotuonyesha game iliyopita ila mi ndiyo maombi yangu.
Msubirieni, atakuja tu baada ya game kuisha.Kuna jamaa shabiki wa man u ingekua mnaongoza basi angescreenshot matokeo na msimamo kisha atatuma kwenye uzi wa Arsenal na wa Simba na Yanga.
Leo nahisi atakua hata kuangalia simu hataki.
Halafu kwa mpira huu mnategemea mumfunge Arsenal pale uwanja wa ndege kweli?[emoji23][emoji23]
Acheni kujidanganya nyie nyumbu.
Duhh huu mda unautoa wapi mkuu [emoji3][emoji3][emoji3]
Mkipigwa hatokei hadi united ije kucheza mechi nyingine na kushindaMsubirieni, atakuja tu baada ya game kuisha.
View attachment 1687792
Hapo mlifungwa na mwenzenu