Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,365
- 21,743
Lingard loading.......Mmoja huyo kashaenda mjini tayari....View attachment 1687473
Ujinga ni kupumzisha wachezaji top wawe fresh dhidi ya Arsenal Jumamosi na bado kushinda mbili bila ya majibuNow pressure to red devil ...
Kama unafikili kukaa top ni rahisi
Subili uone Leo united ujinga atakaofanya
Mkakati swafiKuna taarifa kwamba SHIEFIELD UTD wanaweza kuwakosa wachezaji wao karibu 9 kwny mechi ya leo
Tunaweka full mkoko tunamaliza mechi kipindi cha kwanza then tunapumzisha wachezaji wetu kwa ajili ya arsenal
Sure. Tusi-risk game ambayo tuna nafasi kubwa ya kushinda kisa game ambayo chance ya kushinda ni 50/50man u leo tukishinda tunarudi moja ila nawasi wasi na olee asije panga kikosi usenge akiwaza mechi ya asernal
na leo tukianza kupigwa tu imekula kwetuuuuuu
Pointi tatu mengineyo yatafuata baadayeHawa shiefield ingawa ni United wenzetu ila leo watusamehe tu
Dua la kuku halimpati mweweLeo mnaeuguliwa TIGO4G
Basi jua huzuni atakuwa ndo rafiki akoAisee hii timu ikifungwa huwa nakuwa na furaha isiyokifani
Leicester wamewasha na man u inatakiwa wawashe marambili zaidi hakuna kulegeza kambaNachoombea leo tukipoteza na Leicester apoteze
Acha matusi pimbi wwNaongea point maana ,zinawatouch mpaka moyoni ....hapa ndipo kauli ya ukweli unauma inapokuja
Zinawakera mpaka wanavurugwa
Wanaenda kuomba msaada kwa mod
Leicester wamewasha na man u inatakiwa wawashe marambili zaidi hakuna kulegeza kamba