Hata Mimi nimejua Leo dribbling ya Mc ni supper.Great team performance
Ole na wachezaji
Special mention:
Mc Tominay, sikujua kama pia ni dribbler mzuri (that energy) , Pogba very improved performance defensively +offensively, Cavani, Bruno is Bruno Magnifico only behind CR7 in the world currently
Hofu yangu ni semi final curse... Sijui kama tutaivunja
Na sisi kama Gunners tunapenda mje mkiwa mmejiamini sio kinyonge,km kipindi kile mmefunga psg still mkapasuka hapohapo getoni kwenu
Ole aliingia defensively zaidi siku ile ila walikuwa wafe goli mbili.
Hata mechi na Arsenal tukiingia kibabe kama leo mapema kabisa watakufa goli 4.
Man utd nimeamin kuwa ni empty headed
Upo top point 40
Anayekufata anapoint 38 na game mkononi ,bado wengine difference in point zinazidiana kwa 1na 2
Mbaya zaidi anajipambanua ni bingwa
Hana consistency nzur ya kumantain win
Ukikaa chini ukatafakali man utd anajivunia nini ,unabaki mdomo wazi
Rashford
Martial
Magwaya
Bruno
Pogba
Ndio wanategemea wawape EPL
Unabaki unashangaa tu ,hawa viumbe wako na akili kwa kichwa kweli
Aisee
Lipo linaitwa The citizens.Toka nimejiunga jf sijawah kuona jukwaa la manchester city hivi lipo kweli? Wewe utakuwa kashabiki ka arsenal unajifichia manchester city
Lipo linaitwa The citizens.
Mzee wasalimie hapo cabo delgadoUsiku mwema wadau
P akicheza vizuri lazima liombe interview wewe aubiri tu. Labda P alionyeLile liwakala la Pogba liache us.enge,kijana atulie acheze mpira ashinde trophy hapa Uingereza.
Pogbooomm..ametulia sana.
Ole mitano tena..Natafuta comment ya shabiki mwenzangu inayo mpa sifa kocha wetu, lakini mpaka sasa sijaiona.
Inamaana mpaka sasa hajakubalika tu?
manchester city na chelsea hapa bongo walikuwa hamna washabiki wengi ni wahamiaji walitoka liver,arsenal...Toka nimejiunga jf sijawah kuona jukwaa la manchester city hivi lipo kweli? Wewe utakuwa kashabiki ka arsenal unajifichia manchester city
Man u fans we need security