Ubingwa upo kwa timu ndogo ndogo ambazo ni nyingi. Hebu jaribu kufikiria Liverpool mpaka mzunguko wa kwanza unaisha hajafungwa na timu kubwa hata moja ( City - sare, United - sare, Arsenal - aliwafunga, Chelsea - aliwafunga) lakini tumemzidi alama sita na wote tuna michezo sawa 19.Kitu tulicho regress ni Big matches, tumedrop compare na msimu uliopita, draw zimekua nyingi sana.
hatuna 6 wa kuzuia mashambulizi, hivyo tunacheza na cm wawili Fred na Mc tominay, tukicheza na hao wawili means tunabaki na watu wanne tu washambuliaji, kutokana na stength ya timu yetu counter ni approach nzuri.Ubingwa upo kwa timu ndogo ndogo ambazo ni nyingi. Hebu jaribu kufikiria Liverpool mpaka mzunguko wa kwanza unaisha hajafungwa na timu kubwa hata moja ( City - sare, United - sare, Arsenal - aliwafunga, Chelsea - aliwafunga) lakini tumemzidi alama sita na wote tuna michezo sawa 19.
Kosa kubwa linalofanyika na safu ya ufundi msimu huu wanaingia na mbinu za uoga dhidi ya timu kubwa mara nyingi Ole haiandai timu kushinda hata ukisikiliza mahojiano yake kabla ya mechi yanaonyesha wazi wazi anaingia kutafuta sare. Ile mechi ya Liverpool juzi alisema kabisa hatuwezi kuwa tunakaa nyuma muda wote, hii kauli ni wazi aliingia kutafuta sare zaidi japokuwa tulikuwa tunaweza kuwafunga bila shida kabisa.
Kwani dogo si yupo kwa mkopo kule?View attachment 1683494
Huyu dogo arudi kuna kosa sosha analifanya hapa
1. BurnleyEPL TOP 4 - 20/21
1. ___________________
2. Manchester United
3. ___________________
4. ___________________
Mkuu,, ngoja nikutafutie link,,Dialo siyo chaguo la Ole..
Pale tungepata goli 2 straight.Ni woga wa oleguna tu hakuna kingine
Labile kabadilika now days, drama kaziweka kando atoka jasho na damu uwanjani now, anajitoa sana kwasasa tofauti na miaka ya nyuma nadhani Bruno effect
Usajiri wa Bruno umeleta manufaa sana, uwanjani na nj'e ya uwanja,
Kuna game msimu huu nafikiri tuli'draw, Bruno akahojiwa akasema kakuta dressing wachezaji wamekasirika sana kutoshinda iyo mechi, kwake akasema kafurahi kuona winning mentality ktk kikosi
Kuna approach Ole aliitumia nzuri sana.★Jesse Lingard has been cut from Manchester United 22 man core squad list whereas Amad Diallo has been added to it.★
#GGMU[emoji123][emoji41]
#SamuelLuckhurst
manutd | View attachment 1683764
Safi sana, hawa wapuuzi waishe basi.★Jesse Lingard has been cut from Manchester United 22 man core squad list whereas Amad Diallo has been added to it.★
#GGMU[emoji123][emoji41]
#SamuelLuckhurst
manutd | View attachment 1683764
Mkuu natamani sana ningekuwa optimistic kuhusu timu yetu na wachezaji wetu kama wewe ila siwezi.Sababu ana thamani kubwa na yupo Man U, timu ngapi zinaweza kuipokonya Man U mchezaji ambae wanamtaka? Ukitoa Christian Ronaldo ambae Madrid walivunja Record ya Dunia sidhani kama Kuna super star aliondoka hali ya Kuwa tunamuhutaji.
Na sio Rashford tu Hata Pogba timu ngapi Unafikiri zinaweza kum Afford? Chache sana labda tuamue kumuuza kwa bei rahisi, same kwa Bruno na masuper star wengine.
Sisi sasa inabidi turudi kwenye ile form ya kuanzia february mwaka jana..
And against big six inabidi tuanze kushinda sasa massively starting with Arsenal 1st February.
Wakati mwingine unahitaji bahati mbaya kama hizi kwa wapinzani ili utwae ubingwa.Mpaka arudi atatukuta tumewaacha point 10View attachment 1683502
★Jesse Lingard has been cut from Manchester United 22 man core squad list whereas Amad Diallo has been added to it.★
#GGMU[emoji123][emoji41]
#SamuelLuckhurst
manutd | View attachment 1683764