Manchester United (Red Devils) | Special Thread

OGS UTAMPENDA LAKINI KUNA MAHALI ATAKUKERA TU..YULE MARTIAL ANAFANYA NINI KULE MBELE??!!
 
Leo unahitajika ushindi wa goli nyingi. Msongamano unaoendelea, tofauti ya magoli ni muhimu.

Fulham naokumbuka ya akina Luis Saha, ilikuwa noma.
 
Marefa wanaharibu EPL. Goli la kwanza la City ni offside ya wazi. Halafu VAR hakuna hata kuangalia.
Marefa wanaharibu EPL ?????Hahahahahahahahah

Mnaongoza ligi kwa msaada wa Marefa na VAR ,wakipewa wengine kumbe inawauma.
 
Sijakuelewa kabisa na siwezi kukuelewa, eti Bruno hana skills, hii ni comment yako ambayo umetoa boko la mwaka.
 
siafiki ukosoaji wako kwa fernandez

inapaswa ufahamu mkuu kwamba sio kila match ataperform kwa 100%
Hao wanamuongelea Fernandes as if wanamuongelea Fletcher, eti hana skills, kila mchezaji ana style yake ya uchezaji, kukosea ni kawaida kwenye soka hata cr7 huwa anakosea na huwezi kusema eti hana skills, kwa wasiojua tu ni kwamba Bruno bado ana mengi ya ku offer na hizo skills wanazotaka pia anazo na ameonesha mara kibao tu, passing style yake ni on steroids, umiliki wake wa mpira uko vzr, ss unaanzaje kuropoka ropoka tu ovyo ovyo eti hana skills, nmewashusha sn hao jamaa.
 
Huu
ni uchambuzi uchwara kabisa na kukosa heshima+shukrani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…