Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Vip bado mnaongoza league au tusubili kwanza

Hapa ndio nitaona ,je ole ana pumzi ?
 
Tupo kipindi ambacho hatutakiwi kufanya ujinga kabisa kama kweli Ole anataka kubaki juu ya msimamo wa EPL

Rashford nitampumzisha leo..iwe pia sehemu ya kumhadhibu.Asidhani yeye ni tayari CR7


My starting XI vs Fulham;

==================

De Gea

AWB Bailly Maguire Shaw

Matic Pogba

Greenwood Fernandes Martial

Cavani

===================


GGMU
 
leo rashford atatuinua mark ma words ila martial anaanzia bench
 
LVG ndo alkua bingwa wa hizi adhabu.
 
ila na uelewa uwepo kinyume chake utasoma na kuangalia picha tu
Kweli mdau ndio maana mi nasemaga mchambuzi bora kwangu wa michezo hapa nchini ni yule anaelichambua vyema soka la bongo maana hakuna source yoyote inayompa madini zaidi ya yeye kuumiza kichwa kuyapata huko kwenye vilabu na mahojiano mbalimbali....
 
Hahaha mzee naona umechanganyikiwa pole.

Leicester hajawahi kutuweza hata kidogo juzi juzi tu.

Kachomoa sare na kushagilia kichizi.
Basi kama walichomoa ina maana kama zingeongezwa dakika basi mngekalishwa tu.

Leicester ni khabari nyingine mkuu.

#LeicesterChamaKubwa.
 
Basi kama walichomoa ina maana kama zingeongezwa dakika basi mngekalishwa tu.

Leicester ni khabari nyingine mkuu.

#LeicesterChamaKubwa.
Top 6 mpo? Naona unamsifia sana licester.
Leo ww ni wakuwasifia licester. Ni jinsi gani mmeshuka kiwango. Jitafakari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…