Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kabisa ole kauza mechi
Bailly wakati wa Mourhnio huu huu uwanja alijifunga ndiyo maana yuko benchi na Martial mechi yake ya kwanza na Liverpool alifunga bao murua sana ndiyo maana anaanza.

Cavani mechi ya Southampton alifunga mabao mawili akitokea benchi ndiyo maana leo haanzi

Mpira ni takwimu siyo last match...
 
Martial atafunga leo ndiyo utaanza kumwelewa OGS
 
Martial ana utoto ambao hauishagi,,,!! Anakosa chance ya wazi , alafu anafunga impossible angle!!..

Rashford pia aache uchoyo, anaforce pasipowezekana kupiga, anapiga anakosa kumbe angeweza kutoa pasi!

Bruno na PP wakiwa form, supu ya majogoo mapema tunainywa!!!!
 
sijaona kikosi cha kuifunga man u leo, yani kwa centre-backs za Hendo na Fabinho ndio mumzuie rashford martial na cavan (akiingia) wewe jiandae kumtukana klopp badae
Na ndio Defence hiyohiyo iliyowazuia SON & KANE...Rashford ,Martial ni Striking Force hii Yani Ukijata Striking force utaipeleka hii ,Striker ana Goli 2 unasema ni Striker Serious .

Salah ana Goli 13 Chukua Magoli ya League ya Rashford + Martial + Cavani wamemfikia Salah ???
 

Kwa hiyo mfungaji liverpool ni salah tu?
 
naona OGS kabet leo lets wait and see lakn kitendo cha kumuweka baily nje n kuharbu atmosphere ya washabik weng dunian wa Manchester
 
Kwa hiyo mfungaji liverpool ni salah tu?
SALAH GOLI 13

MANE 6

JOTA 5

FIRMINHO 5

Manchester United ana watu wa hivi Acheni ujanja ujanja Mfungaji wenu ni Bruno hao wengine ni Wabahatishaji tu.
 
Shaqri weakest Liverpool link kwa hiyo nao wako wako

Kitu mkuu hujaelewa ni kwamba liverpool tayar washaweka standard zao kitu ambacho sisi hatuna wao wana mentality ya ushindi jambo ambalo sosha hana ilitakiwa mech kama hizi akaze analeta mchezo

Kipindi manchester united wapo kwenye standard za ushindi walikuwa wanaweza kupanga mabek watupu na tukashinda liverpool wanaweza kwenda na mchezaj wao yoyote na wakapata matokeo wanayotaka tayar wapo kwenye hiyo standard shaqir kuwepo hapo sio kwa bahat mbaya tambua hilo
 
SALAH GOLI 13

MANE 6

JOTA 5

FIRMINHO 5

Manchester United ana watu wa hivi Acheni ujanja ujanja Mfungaji wenu ni Bruno hao wengine ni Wabahatishaji tu.

Sasa rashford ana goli mbili tumefikaje nafasi ya kwanza?
 
Tatizo tunashinda sasa haya maelezo yote ya nini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…