Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 29,029
- 51,558
Hivyo hivyo ulisema kwa mechi zilizopita. Tena ukasema united hawezi kuwa first. Sasanimekuwaje na unasema hawana uwezo?Mkuu united haina uwezo wa kupata draw anfield kwa sasa zaidi ya kipigo
Ni swala la muda tu
Hivyo hivyo ulisema kwa mechi zilizopita. Tena ukasema united hawezi kuwa first. Sasay
AlianzaHivyo hivyo ulisema kwa mechi zilizopita. Tena ukasema united hawezi kuwa first. Sasanimekuwaje na unasema hawana uwezo?
Nikiangalia kwa undani zaidi ,uwezo,technque na tactic za wachezaji wa man utd
Harafu wakutane na damu zinazowaka moto wa anfield ,mane ,salah ,
Gin,henderson,keita
Aisee ,fab ,anord,matip ,mbaya zaidi wamepoteza game iliyopita sijaona man utd ataponea wapi hshaaaaa
Aisee hao vijana wakiwasha moto, utd mtatamani mpira uishe ,na hakutakuwa na pa kutokea zaidi ya kula goli 5+
Utd wenyew wanajua kabisa hatuponi pale anfield
City pekee ndio inauwezo wa kumpiga liverpool anfield ,waletee
Hivi unajua Real Madrid ya kina Beckham and Co haikuwahi kufanya chochote UEFA ?
Unaweza kuta huyu na yeye ni baba kabisa wa familiaKula ugoro kwanza upige chafya, maana ubongo wako utakua na kutu huo.
Unaandika waraka mrefu kumzidi Paolo, alafu ndani ya waraka huo hamna chochote cha maana.
Kwani Simba hawafanyi chochote ?ndugu huyo ndio shabiki halisi wa kibongo ana ule ushabiki wa simba na yanga.....unasifia timu ikienda nje ya nchi hakuna wafanyalo....
Alianza
Eveton
Chelsea
Saton
Spurs
Sasa ni man united
Kumbuka hata spurs alikuwa hapo juu na alikutana na liverpool anfield ,uliza baada ya game nini kilitokea
United wanatamani kukaa pale juu ila uwezo hawana
4 days remain united to return back to its postion
Kwa umri nilio nao na muda nilionza mapenzi, ningekua na sumu kali, hata wewe ungekua mwanangu.Unaweza kuta huyu na yeye ni baba kabisa wa familia
Aisee pole sana
Hata jibu haleti
Huu mzunguko ..utaenda hivi mwishowe utaishia London tu..Alianza
Eveton
Chelsea
Saton
Spurs
Sasa ni man united
Kumbuka hata spurs alikuwa hapo juu na alikutana na liverpool anfield ,uliza baada ya game nini kilitokea
United wanatamani kukaa pale juu ila uwezo hawana
4 days remain united to return back to its postion
Ligi imebakiza mechi ngapi? Mechi tano chache sana..Chelsea ili watufikie wanahitaji kushinda mechi tano.
Unamzungumzia Angel GomezAliondoka on free transfer
Huyu dogo anapaswa kuanza kwenye mechi ndogo ndogo zisizo na presha kama arsenal na chelsea hivi.