Manchester United (Red Devils) | Special Thread


Aache utani kabisa timu inafungwa na arsenal anasema the best? Hahahahaa
 
Unamaanisha kua hapa tulipo fikia ni baatisha ndurute tu, sio?
 
Plus Maguire.

Hivi Matic na Mata hawajachukua wakiwa Chelsea?
  1. Maguire hakuwemo kwenye kikosi cha leicester city kilichobeba ubingwa msimu wa 2015/2016
  2. ni kweli nemanja matic alibeba ubingwa akiwa chelsea takribani mara 2 au zaidi (tukumbuke matic alichezea chelsea mara mbili)
  3. juan mata hana medali ya premier league
 
Machelkenge yana maumivu yasio kwisha, yakiiangalia timu yao imefanya usajili wa kufa paka, lakini mpaka sasa hamna la maana.

Wengi wao wamejipa ban isiyo julikana Kikomo chake.

Ili uyaone humu itategemea na matokeo ya tarehe 17, kama tikipoteza.

Ikitokea tukamfunga livakuku, basi tegemea humu ndani hatuta pokea tena mgeni.
Bora nyie mashabiki wa Liverpool ila macheltako na ma Arse8 yana roho mby hayatakuja humu mpk tutoke pale juu, tena siku hizi ni heri ya Arse8 kdg lkn sio macheltako
 

Asante kwa ufafanuzi mkuu, kwa Maguire nilijua alikuwa mmoja wao.
 
Man Utd ni defence ya 5 na Nikukumbushe tu tumeconcede goli 11 mechi 3 za kwanza, baada ya November for sure tupo top 3 ya defense nzuri. Tuna cleansheet mechi kadhaa.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…