Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Tumepata corner 3, hatuna mpigaji, zote zimechezwa pass fupi zisizo na maana. Timu yetu ni kubwa kukosa mpigaji kona ni dalili mbaya. Kama ni hivyo, kocha ahakikishe kati ya Mata, MCTOMINEY au Talles yumo ndani. Ni aibu kushinda kupiga kona.

Hii mechi ilihitaji goli first half. Second half haitabiriki. So sad sipati ninachotegemea.
 
Martial for life

Pogba labile, akiamka vibaya anakua ameamka vibaya kweli. Ee baba tunaomba amke kweli vibaya

Matic, slow as usual


Nawatakia kipigo kitukufu
Hii kamati yangu ya roho mbaya, mbona hawaswemwi au muda bado
 
★ HT |

Burnley 0
Man United 0


Afu mimi naona bwana CAVANI anarudi kukaba sana jambo ambalo linasababisha hata mabeli wa Burnley kuja kukabia katikati yani wako huru kama wanacheza na DADA zao vile Jamaa akae Juu huku chini hapamuhusu★

manutd |
IMG_20210113_001024_897.jpeg
IMG_20210113_001024_644.jpeg
IMG_20210113_001025_293.jpeg
IMG_20210113_001025_335.jpeg
 
Back
Top Bottom