Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Acha ubishi leicester alichukuwa 17 pts from big six oposition

Last season united kachukua ngapi? Alishika nafasi ya ngapi? Kwa sasa wapili hajashinda mech hata moja big six na mchezo mmoja mkononi kitaalam imekaaje?
 
Arsenal wanamuunganiko gani na ww? Daaaaa mzee unaandika barua ndefu sana halafu majanga
 
Wa pili sio bingwa mzee baba. 1st is 1st second is nothing memo wa Bill Shanky
 
Arteta mwenyewe akipewa sheffield united inashuka daraja pale tu na ule usajili kaponea chupu chupu
 
Ungekuwa umeshinda hata mechi mbili za big six Ungekuwa juu kwahiyo narudia tena come end of the season usipopata point za kutosha kwa big six opposition sahau ubingwa

Hii kitu haipo labda kwa mawazo yako tu liverpool wiki ijayo anaenda kuwa wa pili na kashinda baadhi ya mech za top 6
 
We leta ushahidi wa timu uliyowai kuwa bingwa kwa kutokushinda mechi kubwa
Hii kitu haipo labda kwa mawazo yako tu liverpool wiki ijayo anaenda kuwa wa pili na kashinda baadhi ya mech za top 6
 
Acha uongo point nne zipi wakati Alishinda games za homes zote vs Liver, Arsenal, Chelsea
Manchester united 2010 tena zilikuwa top 4 tu alichukua point nne hizi post muwe mnaangalia
 
Acha uongo point nne zipi wakati Alishinda games za homes zote vs Liver, Arsenal, Chelsea

Naweza kukubali nimekosea mwaka ila manchester united alibeba ubingwa akiwa na droo nne za nyumban timu zikiwa nne tu yaani top 4
 
Acha uongo point nne zipi wakati Alishinda games za homes zote vs Liver, Arsenal, Chelsea

Halafu hapo hapo liverpool kuna miaka alikuwa anazifunga sana timu kubwa akawa anaitwa bingwa wa vigogo alibebaga ubingwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…