Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mbaya zaidi et ni title contender

Achen masiala wakuu, msije kuongea mbele ya wanaume hivo

Timu imeshajifia, bado kuzikwa

Then mnataka mkamfunge Liverpool anfied


Endeleen kuleta vichekesho
 
Kila mara watu wanamlaumu Pogba tu lkn leo kapiga pass za mwisho kwa hao rubi wetu akiwamo FERNANDES, cha ajabu shoot zote za Bruno zilikuwa hazieleweki pasa nazo hazifiki!!! Ila wa kulaumiwa Pogba ty
 
Kuna kauli uliitoa kuwa Manchester City haiwezi kumfunga Manchester United vipi tunaitafuta hiyo kauli au tunaacha ibaki kama ulivyotamka hapo awali?
United matumizi yake ya usajili hayaachani mbali na city ila hajafanikiwa kua na kiwango kinachokaribiana na city.

City ataendelea kuikanda united
 
Kuna kauli uliitoa kuwa Manchester City haiwezi kumfunga Manchester United vipi tunaitafuta hiyo kauli au tunaacha ibaki kama ulivyotamka hapo awali?

Huwez kuja hapa kutamba ukaachwa magoli yenyewe bahat tu
 

Liverpool kabeba epl bila fa cup na carabao pep tukombe hutu tupo damuni toka buyern kule uefa anapigwa huwa hambulii
 

Kabla ya mech hii kapigwa kwake mbili na ot yaani alipigwa mech tatu strait
 
Nafikiri akili imeshawakaa sawa sasa maana mlisha sahau kama timu yenu ni mbovu
 
Nafikiri akili imeshawakaa sawa sasa maana mlisha sahau kama timu yenu ni mbovu

Hahaha bongo bana baada ya kufungwa ishakuwa mbov kabla ya hii mech hujui kama tulishafungwa na timu zingine? City alipigwa na leicester city 5 tena kwake ni timu mbovu?
 
Mmetolewa hapo mnajipunguzia vipaumbele na kuchosha wachezaji so msilalamike sana.

Hata angevuka sosha sijui kama angweza kumfunga mourinho huwa ni mtata sana final
 
Kocha wako aliondoa Lukaku akaleta Ighalo! Hata apewe trio ya Neimar, Aguero, na Mbappe bado hatashinda mechi muhimu zinazohitaji mbinu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…