Mkuu Baba Chicco (ambaye naamini ni daemusin aliyejigeuza jina),nakubaliana na wewe kuhusu ubora wa grealish lakini je atatoa huduma tuliyoihitaji toka kwa sancho kama wideman upande wa kulia? Maana kwa mechi ya jana nilimuona kama namba 10 (ya bruno) zaidi kuliko mtu wa pembeni