mkuu huyu Joshua Kimmich hawajakosea hata kidogo kumfananisha na fundi Bruno mi naona wote ni wachezaji bora isipokuwa kila mmoja kuna anachomzidi mwenzake,kwangu mimi kiungo bora kwasasa ni Bruno ila ukiwa na Kimmich anakupa zaidi ya kile unachohitaji coz anaweza kucheza nafasi nyingi kwa ufanisi zaidi ya mchezaji yeyote duniani.