Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Shaw anapandisha timu lakini akifika maeneo ya hatari hata AWB ana afadhali..Poor poor deliveries..Mipira yote inablockiwa..Telles majalo zake nzuri sana,zote anazishusha ndani ya boksi
Shaw hatulii siku hizi
 
Shaw anapandisha timu lakini akifika maeneo ya hatari hata AWB ana afadhali..Poor poor deliveries..Mipira yote inablockiwa..Telles majalo zake nzuri sana,zote anazishusha ndani ya boksi
Mechi ijayo tunakuanzisha wewe ukapandishe mashambulizi
 
mkuu huyu Joshua Kimmich hawajakosea hata kidogo kumfananisha na fundi Bruno mi naona wote ni wachezaji bora isipokuwa kila mmoja kuna anachomzidi mwenzake,kwangu mimi kiungo bora kwasasa ni Bruno ila ukiwa na Kimmich anakupa zaidi ya kile unachohitaji coz anaweza kucheza nafasi nyingi kwa ufanisi zaidi ya mchezaji yeyote duniani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…