Ile pasi ilikuwa mbali sana pembeni kule. Haikuwa pasi ya mwisho ilihitaji mtu kama Rashford ku-control na kuwapunguza mabeki ili afunge. HAIKUWA PASI YA MWISHO.Punguza mahaba..angalia vitu kiuhalisia..Mtu wa kushukuriwa sana ni aliyepiga pasi
Ndio atakula sub wakwanzaKAJAMAA KAMEANZA TENA..GREENWOOD YUKO BENCH KULE.View attachment 1665057
Akili ya kuutupa mpira maeneo yale je?Ile pasi ilikuwa mbali sana pembeni kule. Haikuwa pasi ya mwisho ilihitaji mtu kama Rashford ku-control na kuwapunguza mabeki ili afunge. HAIKUWA PASI YA MWISHO.
Haya bhanaUnajua liver ana game ngapi? Hamna kiporo vs liver
Unajibu baada ya liver kucheza!!!Haya bhana
Leo utatuunga..subiri.Mkuu, huwezi amini, hata me kwa huyu jamaa (Matial) kuna kipindi ana ni kera, ila kumbu kumbu zangu zina niambia, huyu jamaa awapo uwanjani huwa tuna fanyaga vizuri.
Pia kuna mdau kashalizungumza sana hilo humu.
Bila shaka huyo Matial ndio siri ya ushindi wetu.
Japo simkubali kivilee, lakini siungi mkono wanao mponda humu.
My Starting XI vs Aston Villa kesho
=======
De Gea
AWB Bailly Maguire Telles
Fred McTominay
Rashford Fernandes Martial
Greenwood
======
Hapo mbele zifanyike some interchanges za nafasi kati ya Rashford,Greenwood na Martial
======
Vijana wakiweka 100% commitment+ umakini na hii game 3points ni mapema tu
======
We can't afford losing this one..hatuwezi kabisa aisee kulipokea hili.
El ghazi,Grealish na Watkins ni wakuwaangalia sana..najua AWB atamalizana na Grealish huku Bailly akimuweka mfukoni Watkins
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Hata mm nilimwambia mwanangu mmoja martial kaingia kuna namna flani tumeanza cheza vizuri na ilikua kidogo tupate penati sema hakuamua kuangua one thing about him he has quick and good foot work
Bora kuanza na martial kuliko greenwoodKAJAMAA KAMEANZA TENA..GREENWOOD YUKO BENCH KULE.View attachment 1665057
wasiwasi wa nn mkuuThis is must win asee
Ila nina wasiwasi
Bora kuanza na martial kuliko greenwood
Akili ya kuutupa mpira maeneo yale je?
Angekuwa mjinga mwingine angeendelea kupiga vipasi visivyo na maana kwenye muda wa majeruhi.