Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Shida iko wapi?..

Lingard atauzwa kwa kiasi gani?..nani atamnunua?

Mchezaji kiwango kikiwa kimeisha/kimeshuka,dawa ni kumuacha aondoke kama mkataba wake umeisha.
Hii inasaidia fellain walimfanyia hivyo kisha akauzwa china walau club ilipata hela kidogo si vibaya kwa lingard kuongezwa mwaka mmoja kwanza ni mtu aliekulia kwenye academy anaujua vizur utamaduni wa timu si vizur kuondosha watu kama ambapo madogo kule chini wanaweza kuona kama hawajaliw angalia inshu za wakina solanke na sancho
 
Hata mm nilimwambia mwanangu mmoja martial kaingia kuna namna flani tumeanza cheza vizuri na ilikua kidogo tupate penati sema hakuamua kuangua one thing about him he has quick and good foot work
 
Tunao uwezo wa kukutana na Liverpool huku tayari tukiwa juu yao..

Tushinde against Villa na against Burnley and thus it.

GGMU

Inategemea na Liverpool atatokaje dhidi ya Southampton.

Akishinda na nyie mkashinda mtalingana points, sema magoli Liverpool yuko juu.
 
Nahakikisha mwizi anatiwa mbaroni week ijayo.
Mwizi pumzi zake ni za soda, hata hivyo kachoka ulimi ume mtoka.
Kilicho baki ni kumkamata tu.
Inategemea na Liverpool atatokaje dhidi ya Southampton.

Akishinda na nyie mkashinda mtalingana points, sema magoli Liverpool yuko juu.
 
Phil Jones ni majeruhi eti..yaani hachezi lakini anapata injury..

Wachezaji kama hawa klabuni ndo wanatuletea na nuksi..
Phil jones labda awe mfagoaji pale ot. Hana number tena. Auzwe ligi daraja la 2
 
Bab kubwa mzee baba.
Na me me niuona.
Mungu akubariki katika haraka zako zote za kimaisha.
Ila kuhusu Liverpool mufungwe mpaka basi, nasisi (Manchester United) tushike usukani wa EPL.

Shukrani mkuu, baraka kwako pia.

Kuhusu Liverpool, tulianza 2020 tukiwa tunaongoza ligi, tukamaliza kwa ubingwa.

Tumeanza 2021 tukiwa tunaongoza, tutamaliza tukiwa mabingwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…