Singasinga
JF-Expert Member
- Aug 27, 2011
- 2,741
- 3,316
Kifupi ukimuondoa james nadhani hakuna mtu sahihi wa kutokea hilo eneo,japo hao wote huwa wanapangwa lakini sio maeneo yao ndio maana walitaka wampate sanchoHuko kulia hawez anza greenwood mkuu ?
kuna wale watoto walosajiliwa wapo wawili....wangeanza hata kunusa nusa game moja moja huwezi jua .Kifupi ukimuondoa james nadhani hakuna mtu sahihi wa kutokea hilo eneo,japo hao wote huwa wanapangwa lakini sio maeneo yao ndio maana walitaka wampate sancho
Diallo anakuja January, hakuwa na kibali cha kuchezea uingereza.kuna wale watoto walosajiliwa wapo wawili....wangeanza hata kunusa nusa game moja moja huwezi jua .
ushangae tuna wachezaji wazuri ila tumewafungia kabatini...
[emoji993] Amad Diallo is expected to be one of the first players to be granted a new Governing Body Endorsement (GBE) post-Brexit. Ivorian winger is set to complete his move from Atalanta to #mufc in January. #udlatest [@ed_aarons]Diallo anakuja January, hakuwa na kibali cha kuchezea uingereza.