Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,360
- 21,713
historia haitakusaidia wewe kumfunga aston VillaHao uliowataja wakiwa leicester city hawajawah kushinda mech ya united wakat wanachukua ubingwa ila waliifunga city 3-1
Hizo unazoziita nyumbu hazikuwa na aguero wala yaya toure
Ngoja tuone KwAnza game yenu na Liverpool maana wengi Sana wamekaa Apo mwishowe wakateremka vibayaHili litaendelea kuchangamka mpaka mwisho wa msimu.
Tena huu msimu tegemea tutawarudisha kundini wale walio kimbia.
Tutapokea wageni wapya wengi.
Na wale mburu kenge walio zoea kuja kujamba cheche humu hutawaona.
Mata Auzwe kwel?🤦🏽♂️🤦🏽♂️🤦🏽♂️Wanazi wenzangu wa mpaka sasa hali si mbaya sana,tunahitaji marekebisho madogo madogo.
Mosi, Nadhani Bissaka anahitaji msaidizi serious atakayemkimbiza.Beki wa kulia ni muhimu sana hasa team inapojenga mashambuzi ya kustukiza.
Pili,Nadhani mlinzi wa kati ni muhimu pia tunaweza kutafuta mlinzi mzoefu temporary solution eg mlinzi wa miaka 30 - 33 si vibaya akiongeza uzoefu wake.
Tatu mshambuliaji upande wa kulia,ingawa mpaka sasa kuna madogo wawili wamesajiliwa sijui uwezo wao kama ni wazuri na wana vipaji basi waanze kupewa uzoefu mapema dakika 10 au 15 hasa team inapokuwa inaongoza goal nyingi eg Leed United.
Mwisho nadhani Jones,Mata,Sergio Romero,Rojo hawa wakiuzwa watatoa nafasi kwa madogo.
Kusoma jambo lingine na kuelewa ni jambo lingine ulipowataja wale wachezaji kama walikuwa Wakali nimekwambia hawajawahi kushinda mech yoyote walipokutana na hii timu unayoiita mbovu ila waliipiga timu kali manchester city 3-1 etihad ambayo ilikuwa imetimia kila idara halafu wakashindwa kubeba ubingwa mbele ya leicester city yaani manchester city walichemsha kuchukua ubingwa mbela ya wakina drinkingwater na kante sasa bado hujagundua kitu?historia haitakusaidia wewe kumfunga aston Villa
ifike hatua muache kutembelea historia
Mbona wacheza wa utd wa sasa ni tofuati, unataka walichofanya kina rooney, ronaldo hapo utd wafanye hawa kina Rashid makame, hali magwiree, mvaa gloves mashoooo
Acha kudharilisha ma Legend
Sema fixture yetu next round siyo rafiki sana.
Mechi zote ngumu tutazicheza away isipokuwa game ya Leicester city Liverpool na Everton tu.
Jana alisema hivyo hivyo kuhusu wolves.😀 😀 😀 Yani sisi unatutishia Aston Villa?
Hyo ni must win game kwao....unaombea draw ili muwakaribie point😂Liverpool can draw or win
Sergio Romero namuhurumia sana aiseeWanazi wenzangu wa mpaka sasa hali si mbaya sana,tunahitaji marekebisho madogo madogo.
Mosi, Nadhani Bissaka anahitaji msaidizi serious atakayemkimbiza.Beki wa kulia ni muhimu sana hasa team inapojenga mashambuzi ya kustukiza.
Pili,Nadhani mlinzi wa kati ni muhimu pia tunaweza kutafuta mlinzi mzoefu temporary solution eg mlinzi wa miaka 30 - 33 si vibaya akiongeza uzoefu wake.
Tatu mshambuliaji upande wa kulia,ingawa mpaka sasa kuna madogo wawili wamesajiliwa sijui uwezo wao kama ni wazuri na wana vipaji basi waanze kupewa uzoefu mapema dakika 10 au 15 hasa team inapokuwa inaongoza goal nyingi eg Leed United.
Mwisho nadhani Jones,Mata,Sergio Romero,Rojo hawa wakiuzwa watatoa nafasi kwa madogo.
NakaziaMe kila siku namuwaza Halland tu.
Dirisha hili dogo tunge litumia kujaza nafasi 2 tu
CB
CF
Upamecano
Halland
Our Portuguesee Magnifico..Bruno's effect View attachment 1663292
Sababu ya majira ya baridiMzungu kaanza kuwa mzembe sasa..Corona muda sio mrefu itatunyima burudani ya soka tena.
Kirusi kipya naskia kinatembea balaa