Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Huyu kocha anabadili sana timu sijui kama atapata timu yenye muunganiko mzur
 
Project ya martial na rashford naona kama inafeli tuwape muda au?
 
Project ya martial na rashford naona kama inafeli tuwape muda
Martial na Rashford ni wachezaji wenye vipaji ukubwa. Ila wamekosa msukumo wa ndani. Hawapaswi kuwa first 11, wanapaswa kutafuta namba hilo lingewafanya wachemshe bongo. Sasa hivi wanaboss
 
Inakera sana tunaposhindwa kutake advantage wapinzani wakidondosha point na sisi tunazingua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…