Siku ambayo Man U anatakiwa akae pazuri ndio anazingua.Matic yuko poa tu, shida hapo kwa Pogba, huwa ana mood, kuna siku anashindwa kabisa. Lakini ingekuwa mmoja hapo atoke awepo Fred au Tominay ingekuwa moto sana.
Baada ya 90 je?Kwa hizi dk 90 mimi ni man u. Nina imani na Ole
Kkkkkk...Huu Uzi nimeutafuta sana. Mmeanza kuuficha nyie wapuuzi!!!
Ulisha ambiwa finishing yake kama BentekeIla rashford akili ya mpira ndogo sana
Ngoja tumuoneAkikaza atakuja kuchukua kazi ya OGS