Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,591
Kwenye game tano za PL wameshinda moja,draw moja na kufungwa tatu..Hawapo form in my opinion
LLWLD...hii haiwezi kuwa form
Wayne rooney toka aichukue derby country wamekuwa wagumu
Ngoja tuoneKikosi kizuri ingawa huwa sipendi sana pogba na matic wakicheza pamoja hapo kati ni wazito sana wote, ila anyway let's do this.
SAFI LEO TUNAMPIGA MTU..KALE KAJAMAA KAVIVU HAKAPO LEO[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]View attachment 1662446