Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Tatizo unaingilia Liverpool kwa mtazamo upi, mkuu angalia consistency hapo ndio utajua kuwa united siyo title contender
Kwn Liverfool ina point ngp na man u ina ngp zen tuendelee hyo mada ya consistency uliyoanzisha.
 
Hata wakitoa sare tu, sisi wapinzani tutafurahi, maana mwizi atakua kajikwaa na kuturahisishia kazi sisi tunae mfukuza.

Hahaha, nakwambia huyu ni mwizi mzoefu.

Na baada ya kumvunja vunja baadhi ya viungo ila hamjamfikia, sasa hivi anakaribia kupona. Hizo mbio zake, mtashangaa.
 
Manchester United vs Wolverhampton Wanderers, December 29:

United’s poor finishing and defending cost them in the 2-2 draw at Leicester City, where the Foxes came from behind twice. Their record against Wolves is not great with just one win in the previous seven meetings in all competitions. However, Nuno’s side have been unconvincing upfront this term and they are there for the taking.

Manchester United 2-0 Wolverhampton Wanderers
 
Hao everton tunaenda kupress game mpaka waombe poool


City tunaenda kuchukua epl


Ni swala la muda tu


Citizen chairman
Everton vs Manchester City, January 28:

The Toffees have bagged four wins on the bounce where they have beaten Chelsea, Leicester City and Arsenal. Next up, they will come up against Manchester City, who are three points behind them with a game in hand. The hosts have lost each of their previous five matches against the Cityzens, but have the chance of getting something from this game, if they can show the same defensive resolve from recent weeks.

Everton 1-1 Manchester City
 
Sasa mkuu hapo si tofauti points 4 tu.
Msimu huu labda muombee ligi isimame (kutokana na mlipuko mpya wa Corona) na FA iamue kuwapa ubingwa wa mezani, lakini la sivyo, ubingwa sahauni.
Ivi hujaona tofauti ya points 31 na 27?

Enewey naona umeshikilia kuwa una kiporo! Mpaka hapo Liverpool kacheza 14, na Man U kacheza 14, sasa kiporo gani hapo unachozungumzia labda?
Kuwa serious basi.
 
Tatizo unaingilia Liverpool kwa mtazamo upi, mkuu angalia consistency hapo ndio utajua kuwa united siyo title contender
Kweli kabisa, timu inayoshindwa kulinda goli zikiwa zimebaki dk 5, haiwezi kuwa Bingwa.
 
Jamaa ni motivational sana. Anastahili kiukweli
Baada ya kuondoka Ashley Young, hakukuwa na mchezaji senior ambae alifaa kupewa ukapteni. Hivyo Maguire akapewa.

Hapo Bruno hakuwa Man U.

Sio busara kumnyang'anya Maguire, halafu ukampa Bruno bila sababu ya msingi.
Utasababisha divisions ndani ya dressing room.
 
Sasa kwnn Man U hawaitumii njia hii kupata wachezaji wazuri.
 
Ivi hujaona tofauti ya points 31 na 27?

Enewey naona umeshikilia kuwa una kiporo! Mpaka hapo Liverpool kacheza 14, na Man U kacheza 14, sasa kiporo gani hapo unachozungumzia labda?
Kuwa serious basi.
Point 4 ni nyingi? Kwa michezo zaidi ya 23 iliyobaki?
 
Ole huwa anatuangusha sana kwny mech za umuhimu na sometimes naona kama fixture yake haiangalii vzr
1. kutolewa group stage UCL n uzembe wakat ulishamfunga leipzg na psg mech za mwanzo cjui alikwama wap kumfunga yule bashekir home ñ away
2. jana kumuanzisha lindeolf kulia na james pia n uzembe katika team selection wakat Tuanzebe alicheza vzr tyu no.2 vs everton pia kumuweka nje cavan na greenwood unamuanzisha james msing mbio n ujinga
3. kutokuwa na first XI ya kuaminika mpaka mda huu pia n uzembe kila cku kikos kinabadilika mwny uhakika wa kucheza n kipa degea maguire na bruno wengne n kama ana bet leo nimuanzishe nan

Ole n ndez sana hatuwez kuwa mabingwa kwa akil ya Ole.
 
Hapo numero 3, me nipo pamoja na kocha.
Me nadha anafanya hivyo sababu ya upana wa kikosi na pia kuwapumzisha wachezaji.
 
Hakika kabisa mkuu..

Ole hayupo serious,,
Majembe yapo nje unaanza na substandard players.

Hatuna recovery plan mpira ukipotea.

DeGea ni uchochoro sahivi. Alitakiwa akae bench ila mpaka sasa ndo first eleven.

Defence ni upuuzi mtupu. Ila mpaka leo mambo ni yaleyale.

Kwahiyo Sancho kutokuwepo ndo iwe sababu ya sisi kutofanya vizuri?
 
Ndio maana nasema hakuna kocha mpya atakaepata vikombe akiwa na wote hao James,Lindelof,Shaw,Martia,Bissaka.

Nakubali utetezi wako kwa kuwa hawa ndio tegemeo lkn hata Bunley hawapati namba
Viwango vimeshuka.
 
Mashabiki wachache sana.

Ila wanaojua uwezo halisi wa Ole, hata ashinde mechi 6 mfululizo, bado uwezo wake mdogo sana.
 
Mashabiki wanataka kila mechi washinde kitu ambacho siyo rahisi kwenye football.

Matokeo ya jana ni fair results tu na hayatuondoi kuwa title contenders.
Kuna kufungwa kihalali na kufungwa kwa uzembe.
 
Liverpool yupo vizuri sahivi. Wakiwa uwanjani wapo na objective inayoonekana.

Mpira unaocheza unaonekana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…