Inashangaza sana mkuu,,mm Nina imani kama ole akiwa serious hili kombe la EPL linakwenda old Trafford..Jana kuna mda camera zilienda kumulika benchi la man u, yn mafundi karibu wote wapo nje aisee, kocha hana first eleven mpk leo duuhh.
Litaenda old Trafford kama Liverpool watajitoa kwenye PLInashangaza sana mkuu,,mm Nina imani kama ole akiwa serious hili kombe la EPL linakwenda old Trafford..
Sababu kama angeshinda Jana na kushinda kiporo tunaongoza ligi.
Je kuongoza ligi isingetosha kutupa confidence ya kutwaa ubingwa?
Tuchele hakufukuzwa kwa sababu za timu kushuka Kiwango.Hadi wakina moize kean wanapata namba? Psg alioachiwa na unai kaipoteza sana
Mkuu hivi hesabu zinakusumbuwa?Litaenda old Trafford kama Liverpool watajitoa kwenye PL
Tatizo unaingilia Liverpool kwa mtazamo upi, mkuu angalia consistency hapo ndio utajua kuwa united siyo title contenderMkuu hivi hesabu zinakusumbuwa?
Tofauti ya man u na Liverpool ni points ngapi?
Kama man u angeshinda Jana na kumaliza kiporo kwa ushindi nani angeongoza ligi?
Ole hayupo serious na kombe lolote.
🤣🤣🤣🤣 dahAcha mawazo. Ya kingesengese
Utasemaje man u sio tittle contender wakati tofauti ni point 1? kama akishinda kiporo maana yake ni tofauti hyo.Tatizo unaingilia Liverpool kwa mtazamo upi, mkuu angalia consistency hapo ndio utajua kuwa united siyo title contender
Kweli mkuu arsenal inatisha sana kwa mambo mazuri,,Watu bwana,
Narudia tena- yabidi (hata kama hamtaki) kuyatambua mambo makali ya Arsenal- ni kuwa inatisha! Je mueleweshwe hadi lini ninyi watu muweze kutambua?
Mchezaji asiyeweza hata kupiga kros kama Bissaka na uchochoro kama Shaw + Victor hawawezi kuwa kwenye timu yoyote ya ubingwa kama tegemeo.Shaw,Lindelof,Bissaka sio wachezaji wabaya na wanaweza kuwa kwenye timu ya Ubingwa..
Mkuu hivi hesabu zinakusumbuwa?
Tofauti ya man u na Liverpool ni points ngapi?
Kama man u angeshinda Jana na kumaliza kiporo kwa ushindi nani angeongoza ligi?
Ole hayupo serious na kombe lolote.
Man u yetu kitu kinachoipa shida ni kufukia magep ya point ambapo wale wa juu yake wakipoteza point.Utasemaje man u sio tittle contender wakati tofauti ni point 1? kama akishinda kiporo maana yake ni tofauti hyo.
Hivi Liverpool ya mwaka Jana ndy hii ya Leo?
Mwaka Jana hadi sasa x mass mnatofauti ya points ngapi na anayekufatia kama sio points 6?
Liverpool ya mwaka huu hakuna kitu, ,mkuu.
Nyie ni wakusubiri huruma ya leceister city kumsimamisha man u? Ili muendelee kuongoza?
Last season by xmass ma u hata top 4 hayupo.
Leo unatofauti ya point 1 na bado kuna mechi lukuki zimebaki unajipa ubingwa wa mdomoni.
Nadhani hata kama kusoma hujuwi basi picha utazielewa.View attachment 1660247View attachment 1660248
Ole ni tatizo mkuu,,,atakwendaje Shamba kulima na kijiko wakati jembe kaacha nyumbani?defence ina madhaifu yake lakini hilo haliondoi ukweli ya kwamba safu yetu ya ushambuliaji nayo inashindwa kumaliza mechi muda sahihi.
Hata tungeshinda na kiporo tusingeongoza ligi labda kama liverpool akidrop points game ya leoWewe ambaye hesabu hazikusumbui tupigie hizo hesabu, ungeshinda ingebaki ngapi?
Na ungeshinda hicho kiporo nani angeongoza ligi?
Yote yanasababishwa na line up mbovu,,ndy nikasema ole hayupo serious na tittle.Man u yetu kitu kinachoipa shida ni kufukia magep ya point ambapo wale wa juu yake wakipoteza point.
Point 1 sio kitu mkuu wakati uwezo wa kukaa juu hatuna, ukitaka ubingwa funga wapinzani wako(walio juu yako) mnapokutana Leicester, Liverpool, spurz AU Chelsea na City.. je tunaweza kuwafunga tukae juu yao?
Hata kama tofauti ni ndogo ,,still ligi ina michezo mingi imebakiHata tungeshinda na kiporo tusingeongoza ligi labda kama liverpool akidrop points game ya leo
Sent from my SM-J400F using JamiiForums mobile app
Hata tungeshinda na kiporo tusingeongoza ligi labda kama liverpool akidrop points game ya leo
Sent from my SM-J400F using JamiiForums mobile app
Martial kampa limbwata..Ole ni tatizo mkuu,,,atakwendaje Shamba kulima na kijiko wakati jembe kaacha nyumbani?
Hivi timu inakupa muunganiko mzuri,,na inashinda vzr,,
Kwanini anaibadilisha kila kukicha?
Tulipiga kelele hii top front na ikaleta mafanikio,,
Why haichezeshi?
Martial. Cavani.rashford.
Bruno.
Hiyo ndy top front yetu pendwa..tatizo nn?
Anatuwekea tofauti?
Anaeza pewa maana siku hizi ucaptain Man U hauna heshima kama zamaniHivi man u kwanini isimfanye Bruno kua kapteni?