Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kazi apewe nani ?
Kocha ambaye atakuwa serious,,, hiko kikosi tangia mwanzo watu wanalalamikia,,

--Hivi JD aliwekwa wa nn humo uwanjani?

---Martial aliwekwa center forward wa nn ?

Hivi kwann ole kikosi kinachoshinda na kuonyesha matokeo mazuri,,kesho anakubadilisha na kuweka kikosi kingine cha hovyo kabisa.,,

Hayupo serious na kombe,,,

Kwa matokeo na mwenendo wa ligi ulivyo,,man u haigombei top 4 tena,,inagombea ubingwa,,sasa kwann hayupo serious?
 
Jina please
 
Ndiyo nani huyo ambaye yuko serious kuliko Ole ?
 
Nyie NYUMBU siku hizi mnachonga sana, dawa yenu iko jikoni.
 
Hatujashinda mechi yoyote ya big six so far..

Tumeingia kwenye hizi mechi kiuoga uoga sana..

I think muda mwingine Ole aache vitu viflow vyenyewe..Inabidi tuwa-accomodate best players wetu kwenye kikosi cha kwanza..Hawa kina Danny James wanachelewesha tu timu.

Get your best offensive players in the pitch and let them do the magic..

Defence yetu pia haiwezi kucheza pale kunapokuwa na kitu cha kukihold on..hovyo kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…