Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Tatizo unaongea kwa confidence hana uwezo wa kuhimili dakika tisini.

Ndiyo, naongea kwa kujiamini kwa sababu mimi ni mfuasi wa Man United; hivyo ninaelewa mambo yalivyo kuanzia kwenye uwanja hadi boardroom.

unataka kunambia HAKUNA game aliyoanza na kufunga mabao mawili /matatu kuanzia dakika ya sabini ?.

Sasa kama ndivyo, hiyo si inadhiirisha alivyo super sub? Unakumbuka Ole Gunnar alishapiga goli 4 baada ya kuingia uwanja kama sub katika dakika 12 za mwisho za mchezo dhidi ya Nottingham Forest?

Kumbuka hajaanza kucheza mpira utd , ana timu aliyopitia kabla ya kutua utd na inawezekana alikuwa mzuri sana ndio maana akaja utd ..

Kumbuka pia ligi ya Uingereza ni ya kasi sana; huwezi kuifananisha na ligi ya Mexico!

Usinambie ya utd siyawezi mi nazungumzia chicharito kama chicharito uwezo wa kucheza dakika tisini anao kwa speed nzuri tu ...

Thibitisha! Leta ushahidi wa games alizocheza dakika 90 pale United; na ulete thathmini ya jinsi alivyocheza.

Labda unambie utd chini ya sir Alex aliamua tu kumfanya super sub (SYSTEM YA UNITED )

Hiyo system haikuji tu bila kupimwa; pale kuna wataalamu kuliko mimi na wewe. Sasa wenyewe wanamwona Javier anafaa kuwa super sub. Na hadi sasa ameonekana kufit ile mbaya katika mfumo huo!

Narudi tena kwa Ole Gunnar a.k.a baby-faced assassin, yeye alikuwa super sub pale United na alifunga magoli 91 jumla. Katika kipindi chake akiwa United kuanzia mwaka 1996-2007, ni msimu wa 2001/2002 ndiyo alianza kama mshambuliaji wa kuanza akiwa na Ruud van Gol!

Alipoulizwa siri ya usuper sub wake, Ole Gunnar alijibu: "I had to think about myself, how can I do the most damage for the opposition if I come on? I sat there and I studied football games but I didn't exactly analyse their strikers. Instead I would pay attention to what the defenders and full-backs were doing wrong".

Hivyo Javier anaweza kuwa legend pale United kwa kuwa super sub; na fews games akianza na kutoka. Na hata kutungiwa nyimbo kama super sub baba-faced assassin alivyotungiwa pale OT!
 
563601_10151710696347746_1296987082_n.jpg
 
#Kagawa plays we beat #BayerLeverkusen he doesnt play Man City beats us, he plays again and we beat #Liverpool

1376340_702810709746564_420960932_n.jpg
 
Ndiyo, naongea kwa kujiamini kwa sababu mimi ni mfuasi wa Man United; hivyo ninaelewa mambo yalivyo kuanzia kwenye uwanja hadi boardroom.

Sasa kama ndivyo, hiyo si inadhiirisha alivyo super sub? Unakumbuka Ole Gunnar alishapiga goli 4 baada ya kuingia uwanja kama sub katika dakika 12 za mwisho za mchezo dhidi ya Nottingham Forest?

Kumbuka pia ligi ya Uingereza ni ya kasi sana; huwezi kuifananisha na ligi ya Mexico!

Thibitisha! Leta ushahidi wa games alizocheza dakika 90 pale United; na ulete thathmini ya jinsi alivyocheza.

Hiyo system haikuji tu bila kupimwa; pale kuna wataalamu kuliko mimi na wewe. Sasa wenyewe wanamwona Javier anafaa kuwa super sub. Na hadi sasa ameonekana kufit ile mbaya katika mfumo huo!

Narudi tena kwa Ole Gunnar a.k.a baby-faced assassin, yeye alikuwa super sub pale United na alifunga magoli 91 jumla. Katika kipindi chake akiwa United kuanzia mwaka 1996-2007, ni msimu wa 2001/2002 ndiyo alianza kama mshambuliaji wa kuanza akiwa na Ruud van Gol!

Alipoulizwa siri ya usuper sub wake, Ole Gunnar alijibu: "I had to think about myself, how can I do the most damage for the opposition if I come on? I sat there and I studied football games but I didn't exactly analyse their strikers. Instead I would pay attention to what the defenders and full-backs were doing wrong".

Hivyo Javier anaweza kuwa legend pale United kwa kuwa super sub; na fews games akianza na kutoka. Na hata kutungiwa nyimbo kama super sub baba-faced assassin alivyotungiwa pale OT!

Kwanza mi sio mtaalamu wa soccer in mpenzi tu wa soccer..

Pili yaache ya utd namzungumzia chicharito kama chicharito . ..

Poa nkipata muda nitaingia online kuangalia record zake kuanzia timu ya taifa na timu alizocheza kabla ya kuja utd maana chicharito hajaanza kucheza utd je hajawahi Chezea 90min huko alikotoka, je hajawahi funga magoli dakika za lala salama akiwa mchezaji aliye anza ?
 
Team sheet today:

MUFC XI: De Gea, Jones, Ferdinand, Evans, Buttner; Nani, Carrick, Anderson, Kagawa; Rooney (C), Chicharito

Great team selection.

Glory glory United.
 
Nice play by United..but Jones' cross found no one...3rd minute
 
Back
Top Bottom