Ubumuntu
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 14,382
- 10,951
Ila united Kama wakimchezesha sana Kagawa watakuwa mbali Fellini na carrick kati.
Kwanza, asante.
Pili, huo ni ukweli kabisa.
Ila united Kama wakimchezesha sana Kagawa watakuwa mbali Fellini na carrick kati.
Subirini wanakuja baada ya draw kumalizika ambapo mtapangwa kucheza na Man City kwenye round inayofuatia. tete te te te.
Don't change the channel.
Dah leo wameloga nisitupie picha
Old stories
Mpira haupo hivyo chifu...
Waletwe tu hao Man Shitty...
Kila siku siyo jumapili kaka...
Mpira haupo hivyo chifu...
Waletwe tu hao Man Shitty...
Kila siku siyo jumapili kaka...
Ndo zao hata leo walisema hivyo hivyo kuwa tutafungwa sasa wamebadili topic imekuwa tusubiri Man City
Tukiweka ushabiki pembeni bado Utd hawachezi vizuri.
Poor in possession, very conservative and they relied on a schoolboy error to get the goal.
Still work to be done. But De Gea could be the new No. 1 for Spain very soon.
As for Liverpool, good passing, but without creativity.

Nyie manure mnanifurahisha sana .. So welberk anafaa kuanza sababu ana nguvu .. Lakini chicharito ambaye ni goal poacher mzuri kuliko welberk hafai kuanza sababu hana nguvu ..
Me I thought wachezaji wanapimwa afya kuangalia kama wanaweza kuilhimili 90min .. Au chicharito alikuwa exceptional ??? ..
Acheni mambo zenu ..
Oh man .. I thought I was the only one niliyeona hili ..
usipate tabu kuwaelimisha,maana ni sawa na wafa maji na hajui kuwa ushindi wa mpira ni pointi(magoli) na sio pasiUtaona sana tu..mlitegemea United kufungwa enh?!?
Winning uglier and even the ugliest is Man United's style.
Nani kasema Danny anafaa kuanza?
System ya United ni kutumia namba 9 pekee yake mbele. So RvP ndiyo kazi yake hiyo; akiumwa Javier ataanza na kupumzishwa kama leo.
Javier hana uwezo wa kuhimili dk. 90; spidi yake na umakini uwanjani uisha kadiri anavyochoka. Hilo si jambo la ajabu; wachezaji wengi tu pamoja na kupimwa, uwa hawezi kuwa sawa (kwa spidi na umakini) kwa dk. zote 90.
Chifu, ya United huyawezi, wewe kausha tu!
Dah leo wameloga nisitupie picha
Tatizo unaongea kwa confidence hana uwezo wa kuhimili dakika tisini unataka kunambia HAKUNA game aliyoanza na kufunga mabao mawili /matatu kuanzia dakika ya sabini ?
Kumbuka hajaanza kucheza mpira utd , ana timu aliyopitia kabla ya kutua utd na inawezekana alikuwa mzuri sana ndio maana akaja utd ..
Usinambie ya utd siyawezi mi nazungumzia chicharito kama chicharito uwezo wa kucheza dakika tisini anao kwa speed nzuri tu ...
Labda unambie utd chini ya sir Alex aliamua tu kumfanya super sub (SYSTEM YA UNITED )