Martial ni mchezaji mzuri sana, ila anahitaji Daktari wa saikolojia, ili kuboost inner drive. Angekuwa na bidii kama Sterling au Mane, angekuwa moto sana.
Ndiyo asirudi, baada ya goli la kwanza, alikuwa anatembea na mpira. Ameniudhi sana. Pia pasi Zake zote alirudisha nyuma, mpaka waliporudisha. Nimechukia