The Humble Dreamer
JF-Expert Member
- Oct 12, 2015
- 8,010
- 11,444
De Gea ni stopper la muhimu asifungwe tu na kuna mipira ukiifuata kwa mikono unafungwaAlafu kocha aachane na De Gea nakereka anavyodakia miguu badala ya mikono.
De Gea wa sasa kaisha.
Hata mm sioni maana kwakweli, japo najua lengo lao ni kuleta msisimko ktk group stage lkn bado sioni mantiki.★Ona hapa sasa [emoji23][emoji23]★View attachment 1647136
Huyu atazichukua mpk achoke.★OFFICIAL: Bruno Fernandes wins Premier League player of the month November! [emoji1201].★
#GGMU[emoji123][emoji41]
manutd | View attachment 1647189
Huyo mtu mwenye akili timamu atamzungumzia Magwaya si ndio...acha bangiMtu mwenye akili timamu hawezi kumzungumzia Zouma kwenye kundi la wacheza mpira.
Wewe ukitoaga prediksheni huwa mnapigwa. Kwa hiyo kausha usi predikti tena.My prediction
Manutd 2 - 1 Manchester City
BTTS and O2.5
Anthony Martial to score at ANY TIME
Nitakausha vipi na prediction iko mezani Manchester City leo ataambulia kapa...Wewe ukitoaga prediksheni huwa mnapigwa. Kwa hiyo kausha usi predikti tena.
Yaan huyo martial aliyeshindwa kutoka na on target game yabrighton ndo awafunge city...anyway mpira una maajabu ngoja tuoneMy prediction
Manutd 2 - 1 Manchester City
BTTS and O2.5
Anthony Martial to score at ANY TIME
Hata me nimeanza kupoteza imani nae!Alafu kocha aachane na De Gea nakereka anavyodakia miguu badala ya mikono.
De Gea wa sasa kaisha.
Sasa wewe tangu lini ukaiombea mema Manchester United?Kati ya kitu nilichofurah ni kia united tumetolewa UEFA champions ligi.
Europa nako mapema tu tunatolewa na tutatoka kapa msimu huu tena.
Hapa umeshaliwa mzee babaWakuu nimewapa laki yangu
Aisee ole akiondoka na laki yangu nitaomba atimuliwe tu
Mkuu ole anamjulia pepHapa umeshaliwa mzee baba
Huyu atazichukua mpk achoke.
We si shabiki wa Manchester City wewe ? Unaibetia timu yako kufungwa [emoji23]Wakuu nimewapa laki yangu
Aisee ole akiondoka na laki yangu nitaomba atimuliwe tu