Antonio siyo attacking midfielder; yeye ni right half kama walivyojulikana awali, au unaweza kumwita right winger. Attacking midfielder anapaswa acheze katikati ya kiwanja, ndiyo maana anaitwa 'midfielder'.
Kwa sababu kwa formation ya United right wingers na right backs wanacheza kwa kusaidiana. Sawa na left wingers na left backs. Sasa pale kabla yq goli, Antonio alikuwa kwenye nafasi ya right back, ambapo alikuwa na uwezo wa kumsaidia right back Chris.
Kwanza, ni Rooney na siyo Ronney. Pili, Rooney ni mchezaji wa pekee; anajituma sana kwa ajili ya timu. Yupo tayari kumkimbiza mchezaji wa timu pinzani toka half ya lango lao hadi kwa United ili amkabe. Ni wachezaji wachache sana (support forwards ama playmakers) wenye uwezo kama wa Rooney katika kucheza kwa ajili ya timu kwa nafasi karibu zote. Tambua hilo kabisa. Sasa kwa sababu Rooney yupo hivyo, huwezi kutaka mchezaji kama Mata awe hivyo. Mata ana uwezo wa kipekee kama playmaker cum attacking mid. Kocha mwenye kutambua uwezo huo, atamcheza ili aweze ku-capitalise uwezo huo kwa manufaa ya timu. Kocha hawezi kumlazimisha Mata acheze kama Rooney, akijua, Mata hana uwezo huo, na atachemsha.
Wakati Chelsea wakiwa na mpira? Unamaanisha? Mata amekuwa mchezaji bora wa timu nzima ya Chelsea katika misimu 2 iliyopita; katika michuano yote Chelsea waliyocheza.
Sawa. Ila holding to positions is key for a successful team work. Imagine kama wachezaji wasingekuwa wanakaa na kutawala nafasi zao, kungekuwa na team work hapo?
Wait a minute! Ni lini Arsenal alikuwa na siku Uingereza za kutawala?!?
Pili, siku za United zinapita baada ya games 5?!?
Kweli wewe ni bongo soka punditi!!!
Hii ndiyo staili ya kuanza ligi kwa United; always a slow starter like a Marathon runner and not like a sprinter.
Tatu, Liverpool bado historia inaibeba; ndiyo klabu ya 2 kwa ukubwa Uingereza baada ya United. Arsenal, Chelsea and Man City zote ni wee clubs mbele ya United na Liverpool kwa sasa.
Jaribu tena na maelezeo yako ya wikipedia.
Mimi naelewa soka, kwa sababu nlifundishwa kucheza soka.
Katika soka kuna positions kuu 3 ukitoa ya golikipa, nazo ni: back, midfield na forward. Sasa humo ndimo kuna aina mbalimbali za uchezaji. Iwe kwa back, midfield na forward; ndiyo maana kuna right and left back ambao wanacheza kama right and left wingers; vilevile uitwa attacking full-back right or left. Kina Evra, Maicon, Alves, Cafu, R. Carlos etc. Pia katika back kuna malibero na stoppers; kina Terry, Vidic, Cannavaro, Baresin.k. Kuna midfielders walio playmakers ama creative midfielders kama akina Ozil, Sneijder, Kagawa, Iniesta, Cesc, Kaka; kuna defensive midfielders ama box-to-box midfielder kama akina Mascherano, Makelele, Keane, walio kama mabeki. Nikienda kwa forwards, napo kuna goal poachers kama akina Shaun Goater, Nistelrooy, Inzaghi, Chicharito n.k. Kuna target man kama walivyo Cristiano na Messi katika timu zao; uwa upewa mipira kila mara ili kufunga. Wanakuwa kama roho ya timu katika kufunga.
Nikirudi kwenye mada. Rooney siyo namba 9 ni namba 10 kwa United. Namba zote ni za forwards; tofauti yao ipo kwenye uchezaji. Uchezaji wa namba 9 siyo sawa na wa namba 10. Unaposema Rooney ni striker ni sawa, lakini siyo namba 9. Cristiano naye ni striker; lakini anacheza namba ngapi?!? CR ucheza kama right forward, lakini ni striker wa Real; huku Karim akiwa kama namba 9 wao. Hivyo mtu kuitwa striker ina maanisha ni aina tu ya uchezaji akiwa kama forward, iwe centre forward ama right au left forward.
Kitu kingine, United has always played with a classic number 9; that is United's style. Whether you call it outdated or whatever, that is United's business. It is such a formation that has won United over 30 titles over the past 20 years.
Who are you to question the style now?!?
Hivyo kukosekana kwa RvP kama namba 9 wa United kumeonyesha umuhimu wa kuwa na namba 9 mwingine. Nimeshasema Javier anafaa kama super sub; uchoka mapema sana.
Habari za kuaminika zinasema Di Canio (Sunderland) kibarua kimeota mbawa chacha Moya naona tumbo joto khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
''Paolo Di Canio: Sunderland part company with head coach''
Hahahaaaa!!! Hii kali. Kwa hiyo a winger siyo attacking midfielder? Huwezi kuwa na attacking midfielder in wide position?
Wakati akiwa Utd, Ronaldo hakuwa attacking midfielder? Giggs na Nani siyo attacking midfielders simply because ni wingers?
Kabla ya miaka ya 1960s, kazi ya wingers ilikuwa ni ku-attack tuu, lakini siku hizi hali imebadilika. Wingers/attacking midfielders must back-track and must also do defensive duties. Pale Valencia alichemsha na ndiyo maana Vidic alimwambia tokea mwanzo kabisa lakini jamaa hakusikia.
Alikuwa amsaidie Chris au ale sahani moja na left back wa Man City ili Nasri asitoe pasi kwake? Sasa kama angemsaidia Chris kwa kumkaba Nasri, nani angemkaba yule left back wa Man City?
Ulidhani ni kwa nini Mourinho alikuwa anamtaka? Rooney ndiyo type ya modern strikers. Siku hizi watu kama Mark Viduka hawana tena soko. Kama Mata angekuwa Man Utd mngekaa kimya kama angecheza kama alivyocheza Valencia kwenye lile goli la kwanza?
I meant that when Mata played, Chelesea had 11 men when they were in possession of the ball and 10 men when they were not in possession of the ball. Why? Kwa sababu, unlike Oscar, Mata alikuwa hafanyi lolote kama timu yake imepoteza mpira. He waited for others to get the ball back for him. Mbona player makers wa Barca wakipoteza mpira wanautafuta kwa udi na uvumba? Why not Mata?
He just needs to be a complete player. That's it. Nakumbuka hata Joe Cole alikuwa hivyo hivyo, but he accepted the criticisms from Mourinho and changed to become a very good player.
Sasa pale Valencia alikuwa ame-hold position yake? Where was he supposed to be in that particular time?
Ndo maana nimesema sehemu nyingine kuwa Man Utd tayari wameshacheza na Liverpool, Man City na Chelsea. So, mechi zijazo lazima mshinde kiulaini. Hata hivyo, to win the league, you must not loose too many points to your competitors. Kati ya hizo mechi tatu mmeambulia point moja tuu kati ya tisa.
Mie siyo pundit. Are you? If so, pundit wa wapi?
So, long what it say is right I will use it as a source.
Hata Valencia anaelewa soka kwa sababu anafundishwa kucheza kusoka almost kila siku.
Lakini pamoja na hayo, alokosea kucheza soka pale na kusabanisha goli la kwanza.
Hii ni pamoja na Vidic kumwambia mapema kuwa inambidi acheze soka kwa ku-track back lakini still akadharau.
Basi ungesema tokea mwanzoni kuwa Utd needs another top No. number 9. Wewe ulisema Utd needs another top striker nikakuuliza kuwa kwani Rooney siyo striker ukasema unasema yeye ni namba 10 na siyo tisa as if striker anachezea namba 9 tuu.
"Rio Ferdinand insists that Manchester United will need all four of their strikers if they want success this season. Robin van Persie and Wayne Rooney have now emerged as first choice under David Moyes, but Ferdinand insists that Danny Welbeck and Javier Hernandez will be needed too." Kwa maana hiyo mna strikers wanne whether or not wanachezea namba 9.
Ni kweli Man Utd has been playing with a classic number 9. In fact, most English teams, including the national team, play with the classic number 9. However, the days of two wingers crossing it in to a classic number 9 are long dead.
In modern days, 4-4-2 is outdated as most nations preferring instead a general 4-3-3 formation. Pia Man Utd were more successfull walipokuwa wanatumia 4-3-3. Unakumbuka msimu wa 2008/2009 ambapo Rooney, Ronaldo and Tavez played upfront? Kupass mpira kwa wingers na kutengemea crosses is old fashioned. It may have been successful kwa Man Utd kwa sababu ndiyo wamezoea lakini umeona ilivyowamaliza jana.
Mara unasema the whole team haikucheza vizuri. Sasa unasema tatizo ni kutokuwepo kwa RVP. Valencia and Young were awful. Kusema tatizo ni kutokuwepo kwa RVP is extremely misleading.
There are at least two centrally forward players in Chicharito and Kagawa who were plenty capable of providing a spark, lakini kwa sababu zake manager hakuwatumia. Mlaumu manager for not rotating the players and keeping them fit.
Halafu ni top striker gani huyo atakayekubali kukalia bench kama RVP yuko fit? Au kwa vile kuna fununu kuwa RVP does not enjoy the new manager's style of training?
Walikakamtwa sana hawa wazee wa kubebwa aka Manure.........
Chifu, naona unaendeleza ubishi husio na mantiki. Kama ulisoma ile post yangu juu ya positions kuu 3 za uwanjani, utanielewa. Attacking midfielder ni aina ya uchezaji katika nafasi ya midfield. Right and left wingers ni aina ya uchezaji katika midfield pia. Sasa kwa United Antonio siyo attacking midfielder; mpira wa United uwa ni wa kutumia wings sana. Ingawa kwa kiasi fulani uwa wanatumia attacking midfielders kutafuta magoli.
Sijawa kusikia Cristiano ama Giggs na Nani wakiitwa attacking midfielders; wenyewe wanaweza kufanya na kuleta mashambulizi kupitia kwenye wings, uitwa attacking wingers, ambao ni aina pia ya uchezaji katika midfield. Ingawa mara chache upitia katikati. Hizo ni aina za uchezaji tu.
Must back-track kwa mujibu wa nani?
Mpira ni mchezo wa makosa; pamoja na makosa ya Antonio, United walicheza hovyo jana. Nashangaa unakomalia kusema mambo yaliyo obvious.
Ndiyo. Kwani kwa uchezaji wa Mata, siwezi kumlaumu. Mata uchezaji wake ungekuwa unaleta faida kubwa kwenye timu kuliko udhaifu wake katika kukaba. Huwezi kulazimisha kila mchezaji acheze kama Rooney. Nimeshakwambia Rooney is an exceptional player. Ebu nitajie aina ya wachezaji kama Rooney katika ligi za Ulaya.
Mourinho hana haja ya kumchukua Rooney wakati ana wachezaji watatu wanaoweza kucheza kama Rooney wakienda mbele (Mata, Hazard na Oscar); na wanao wawili wakirudi kukaba (Oscar na Ramires). Sasa Wazza wa nini hapo? Mourinho apange kikosi chake vizuri tu.
Still, he was their best player for two consecutive seasons. Mata is the best on what is supposed to do; and that completely cover his weakness in tracking back balls.
So do complete players need to do what? Isn't Messi a complete player?
Come on, you can't compare Joe Cole and Juan 'King' Mata!!! That's so low! Where did the complete player Hoe Cole end up?
Some players are just the best on what they are 'naturally' supposed to do in the pitch; and not on what they are supposed to do in your so called modern football.
Again, unakomalia vitu ambavyo havipaswi kukomaliwa!
Look at what you are writing!! United has won the league several times despite of losing points to its competitors. Many times. So it isn't a must to not lose points to your rivals so as to win the league. Last year United lost two games at OT versus Chelsea and City; yet, United was the Champ. It is too early to make such a statement.
It isn't a reliable source buddy in making arguments.
Chifu, what's your point on this? Maana sielewi unachokikomalia hapa; wakati nimeshasema Antonio hakucheza vizuri kama alivyocheza katika mechi za awali. Ila tatizo lilikuwa la timu nzima.
Duh! Sasa naanza kupata wasiwasi na umakini wako. Nenda kasome post yangu ya jana saa 19.36; nilisema "van Persie's absence clearly shows how United needs another top class number 9. GGMU".
Chifu, kama ndio unafanya hivi argument. Kwa heri. Naona hutuwezi kuelewana katika hili la positions na style of playing katika dimba.
Are long dead according to you?!? Look at Real Madrid; Cristiano and Di Maria are still putting crosses from the wings! United is still doing the same with Antonio and even with Patrice. There are some teams that can never abandon such kind of a style. Because they are the best when with such a style.
Huwezi ukasema hiyo style ni mbovu kwa kuangalia mechi moja tu ya jana. Mbona hukusema style mbovu United walivyowafunga Leverkusen katikati ya wiki? Tena United walitumia 4-3-2-1. Halafu, kwani kwa hiyo 4-3-3 United walikuwa hawapotezi mechi?!? What kind of an argument is that!?!?
Dah! Wewe ni kiboko! Anyway, nilichosema ni kwamba, pamoja na kucheza vibaya kwa Antonio, timu nzima haikucheza vizuri. Timu ilikosa mtu pale mbele ambaye angekuwa anawaweka roho juu mabeki wa City. Ndio maana nikasema, hiyo inaonyesha tunahitaji mtu mwingine (namba 9) wa kusaidiana na RvP kama RvP hayupo. Sijasema tatizo ni kutokuwepo kwa RvP. Timu nzima haikucheza vizuri.
Nimeshasema hayo huko nyuma pia. Nilimlaumu David kwa kuwaanzisha Danny na Ashley badala ya Javier ama Kagawa/Nani. Kukosekana kwa RvP kungelazimu hao kuwemo ndani ya dimba. Ila Kagawa siyo central forward chifu. Yeye ni midfielder ambaye ucheza kama attacking midfielder cum playmaker. Uchezaji ambao uweza kuchezwa na namba 10 wa timu pia.
United is the biggest team in UK and one of the biggest in the world. Any top class number 9 would fancy the idea of competing for a position with another top class central forward.
Wakati mwingine inabidi utulie ndio uandike na sio unaendekeza ubishi hadi unaandika vitu ambavyo havipo,Hapo utawadanganya wengine lakini siyo mimi. In the modern football, a winger is a wide attacking midfielders, often characterized by pace, good dribbling and crossing skills.
Kwa mujibu wa Vidic aka his captain.
Kwa hiyo, hata kama RVP angekuwepo bado mgepata kichapo? Rooney nae alicheza ovyo sana jana?
Inawezekana hakuna mchezaji kama Rooney na ndo maana Feggie alisema kuwa Rooney is "The White Pele" to the disappointment of the legend.
Kwa ni Oscar pekee ndiyo arudi kukaba. Why not Mata?
If he was the best player he would not have been behind Oscar in the pecking order as the team's playmaker.
In deed, the fact that he was their best player in the last two consecutive seasons does not guarantee him a place in the team. If he can attack but he cant defend but there is another player who can do both, then I will pick the latter.
Messi a complete player, but not an exceptional player like Rooney?
Nilisema a good player not a complete player. Even, if that was the case, Mata is not a complete player. He can't even get into the first 11 of the Spanish national team. But he has time to be a much better player. Nilikuwa nalinganisha criticisms alizopata Cole; hazina tofauti na anazopata Mata.
Yea, but they are supposed to give 110% on the pitch.
Lilikuwa swali la msingi kama umelisema no problem.
Well, this season you have lost three games so far.
Nipo kwenye majonzi makubwa, Nairobi attack.. na hii ya Derby ndo kabisa, I'm restless!!..Still ManU1st Lady!
Wakati mwingine inabidi utulie ndio uandike na sio unaendekeza ubishi hadi unaandika vitu ambavyo havipo,
Juan Mata ndio mchezaji bora wa Chelsea kwa misimu miwili mfululizo,tatizo kubwa la Chelsea kwa sasa ni kufunga magoli na sio kufungwa so why unasema Mata hafai kwa sababu hawezi kukaba ?
Juan Mata ndio mchezaji bora wa Chelsea kwa misimu miwili mfululizo,tatizo kubwa la Chelsea kwa sasa ni kufunga magoli na sio kufungwa so why unasema Mata hafai kwa sababu hawezi kukaba ?
.....acha ubishi nawewe kha?!
Msome Mourinho;
""Juan has to learn to play the way I want to play. He has to be more consistent, has to be more participative when the team loses the ball, and I think it is not his fault. It is just a consequence of the way he played in the last few years."
Read more at Jose Mourinho fires warning to Juan Mata at Chelsea | Football News | ESPN.co.uk
BTW, nimekuja kuweka shada la maua tu, poleni na msiba...
View attachment 113270
Nimekujibu hili kwenye ile thread ya chelsea lakini naona umehamishia debate huku. Nimeandika kule kuwa nadhani the fact that alikuwa the best player for two consecutive seasons ndo inawazingua watu kama nyie. Being the club's best player of the season is nothing if the team does not win trophies.
At the end of the season is not whether a particular player played better than others but whether the whole team played better and won trophies. No one wants to see another Arsenal or Liverpool in the league. We want to see a more competitive league than last season. I am sure you also want to see a more competitive league na siyo league dominated by two teams like La Liga.
As a team, Chelsea has not played well in the last couple of seasons. Every Chelsea supporters will agree to this regardless of whether Mata was the player of the season. In fact nashangaa wengi wanaomtetea Mata wala siyo Chelsea supporters. Kama mnamind sana mchukueni mkanywe nae chai.
Wakati baadhi yenu mnataka Mata aendelee kucheza level ile ile, wengine wanataka aimprove zaidi. They want him to play better for the team not for himself. Badala ya kulewa na sifa za kuwa best player of the year, if Mata is really a professional enough then he should accept the constructive criticisms given by his coach and improve his game.
If Mata really wants to be a regular in the Spanish national, he will have to improve his game and track back the ball kama wanavyofanya akina Xavi na Iniesta. Nyie mnaojifanya kumsifia Mata hamumtakii mema. He has got some weaknesses and must improve on them. I think Mourinho wants to get the best out of him kama alivyofanya kwa Joe Cole. Simple as that. Mengine kasome kwenye ile thread nyingine.
Tatizo la Mourinho anataka timu nzima iwe inazuia,utafunga goli saa ngapi