Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Solskjaer is looking to bolster his right back options and #mufc are ‘monitoring’ Atletico Madrid’s Kieran Trippier. [Telegraph]

The best option ever
kieran trippier ameshatimiza miaka 30 ya kuzaliwa, kwa mchezaji wa kiengereza na mwenye uzoefu wa kimashindano huenda mshahara wake ukafikia paundi laki 1 hadi laki 1.5

ni bora tuwekeze kwa mlinzi mwengine atakayeleta ushindani utakaodumu kwa muda mrefu,
nimeangalia zaidi kigezo cha umri mbele ya uwezo binafsi wa mchezaji husika.
 
Kipi sasa huelewi hapo? Mana yake kocha hana mchango ktk matokeo chanya ya timu badala yake kwenyeatokeo hasi anachangia kwa sababu ndio kazi yake kuhakikisha timu inacheza vizuri na kushinda

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwenye mechi ya kwanza . Huyo mtanga alicheza.. huyo marcel alicheza. Walikuwa wapi wasishinde?
Game ile imeshapita mkuu, hii ni nyingine kabisa tena ya mwisho (jasho na damu)

Tusitegemee mbinu zilezile, RB sio wa kubeza
 
Sijaelewa bado. Unaamini tume-improve tulipoishia msimu uliopita?

Nimependa uchambuzi wako ila umeweka mahaba mbele sana kuliko uhalisia.

Angalia kwa utulivu sana mwenendo wa Ole bila upenzi utagundua tuna bahatisha bahatisha ni kama hajui nini kitatokea kila tukiingia uwanjani ni tofauti kabisa na alipokuwa anamaliza msimu uliopita. Technically, we're not improving.

Hata kesho, hatujui kama tutacheza europa au tutaendelea kwa ssb with Ole hujui nini kitatokea. Japo tuna nyenzo zote za kutufanya tushinde ila bado unaweka nafasi ya mashaka dhidi ya kocha.
 
Nafikiri Man United bado wanaheshimu hatua anazozipiga Brandon William's kuelekea kuwa mlinzi tegemeo upande wa kulia lakini pia wanaheshimu hatua anazopiga AWB kuelekea kuwa mlinzi bora wa kulia.

Hivyo kuja kwa Kierian Trippier ni suluhisho la muda mfupi tu na kuongeza dimension mpya upande wa kulia.

Kiuchezaji Kierian ni mchezaji tofauti sana na Bissaka pamoja na Brandon.

Kama ni taarifa za kweli aje tu.
 
Sina imani na Ole. Tunafungika kirahisi sana kwa uzembe wa safu ya ufundi. Mf. Mechi dhidi ya PSG, Crystal Palace, Arsenal, Instanbul.

Mwalimu mwenye mikakati ya makombe hadondoshi alama kiboya boya. Sioni hili kwa Ole.
Kufungwa na PSG wala siyo jambo la kushitukiza ukiziAa111
 
Hivyo kuja kwa Kierian Trippier ni suluhisho la muda mfupi tu na kuongeza dimension mpya upande wa kulia.

Kiuchezaji Kierian ni mchezaji tofauti sana na Bissaka pamoja na Brandon.
huenda pia thamani yake itakuwa ni ndogo kwa sababu mkataba wake ni mwaka mmoja ndio uliobakia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…