Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,504
- 911,249
Should start to guarantee a win★Donny Beek: "I can play the number six, eight or 10. I'm used to it. I know I can give the team something extra so I just have to work hard and be patient.".★
#GGMU
manutd | View attachment 1639463
United Arena. Twitter★Nani huyu???★
Why always him??..
Leo hata waturuki wakimfunga Mjerumani practically tumefuzu.GGMU
Wakuu vipi mmeingia baridi nini?
Haw wana mitindo wa Paris tunawala vichwa leo?
Leipzig sijui kama watakubali wafungwe na wale waturuki..Leo hata waturuki wakimfunga Mjerumani practically tumefuzu.
Leipzig sijui kama watakubali wafungwe na wale waturuki..
Aisee we have to win this ili gemu ya mwisho tusiwe roho juujuu maana at times tumeshindwa kupata matokeo mazuri kipindi pressure inapokuwa juu sana
UEFA wanatumia sheria ya head to head pindi timu zinapolingana kialama, kama wote watakuwa na alama sawa itamlazimu Leipzig amfunge man utd magoli 6 pindi watakapokutana ili wawe mbele kwa ushindi wa magoli 6- 5.PSG akiwafunga na Leipzig akishinda timu 3 zinakuwa na point 9.
Game za mwisho itakuwa burudani sana.
Leipzig sijui kama watakubali wafungwe na wale waturuki..
Aisee we have to win this ili gemu ya mwisho tusiwe roho juujuu maana at times tumeshindwa kupata matokeo mazuri kipindi pressure inapokuwa juu sana
Itakuwa noma sana..PSG akiwafunga na Leipzig akishinda timu 3 zinakuwa na point 9.
Game za mwisho itakuwa burudani sana.
Ndo maana nasema hii gemu ya leo ni ya kushinda ili tuwe na nafasi ya kuwa kufuzu na kuwa wa kwanza kwenye kundihakuna cha roho juu, cha umuhimu ni kujihakikishia nafasi ya kwanza
UEFA wanatumia sheria ya head to head pindi timu zinapolingana kialama, kama wote watakuwa na alama sawa itamlazimu Leipzig amfunge man utd magoli 6 pindi watakapokutana ili wawe mbele kwa ushindi wa magoli 6- 5.
Ndo maana nasema hii gemu ya leo ni ya kushinda ili tuwe na nafasi ya kuwa kufuzu na kuwa wa kwanza kwenye kundi
On paper EPL inabidi itoe finalist msimu huu..tukiacha bayern klabu za top five leagues nyingi zipo dhohof(Barca,Madrid n.k)..Kabisa, naona timu zote za Premier League zina chance ya kuongoza groups zao.
Hapo kwa kiasi kidogo unaweza kuona 3 zinaingia quarter final, assuming next round superior timu zinashinda kwa 75%.