Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Come on United....

......waje wapi sasa naweee?
Acha wacheze mpira bana...
Hayo mambo ya kuweka mpira kwapani ni mechi za mchanganiii!!!
😄😄😄
 
Nununununununu,kunununa unamnunia nani ManU,Tafuta mume umnunie Man u!
 
Reactions: Mbu
..... Belo......be a man bana, ukuje hapa kusaidia msibani!
Kufiwa haina maana kujiinamia kama kobe mzee bana!!!
 
Last edited by a moderator:
van Persie's absence clearly shows how United needs another top class number 9.GGMU
 
Kwwli timu imecheza hovyo sana. Ila David's selection ndiyo imesababisha. Kwa kumkosa RvP, ilipaswa Javier na Kagawa waanze.


Hata jua likichomoza bwana lazima litazama...nahisi kama ndiyo muda wenyewe kwa Man U....

May be Kibabu kipewe mikoba tena..lol!!
 
Hata jua likichomoza bwana lazima litazama...nahisi kama ndiyo muda wenyewe kwa Man U....

May be Kibabu kipewe mikoba tena..lol!!

With just 5 games played? You come with such a conclusion? What a soccer pundit!!!
 
Leo lady in red kavalishwa gauni la bluu..Rooney,huyu jamaa kajifunza lini kupiga faulo?
 
Angalau Wazza kavunja rekodi hapa...sasa ndiye top scorer katika derby, akiwa na goli 11.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…