Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Unajisikiaje mkuu.
 
Ni kweli unachosema mkuu ila uyo mtu hawezi kuwa Martial.
 
Cavan kwa mara ya kwanza leo anamfanya Chief Mkwawa(No disrespect) akose cha kumtetea Martial utetezi wa jamaa huwa unaingia sana moyoni lkn akili yangu huwa inakataa kabisa...Thanks Cavani.
Halafu mbaya zaidi hata ole anajuwa kama cavani ni mtu hatari,,
Lakini hataki tu kumpa nafasi..

Kocha bwege sana huyu.

Haya ni maneno ya ole kabla ya mechi ya Leo.
 
Wachezaji wawe serious sasa, hatupo mbali na mtu wa juu ya msimamo na mchezo wetu mmoja mkononi. Miaka inaenda aisee mpaka lini tutaisubiri Premier League.
Mimi bado naamini msimu huu tunachallenge ligi, timu pekee ambayo kidogo inatisha ni spurs, na wao pia sidhani kama wana depth ya maana hasa vile wanacheza Europa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…